Mimi Mars hawezi kugombania mwanaume

Mimi Mars hawezi kugombania mwanaume

Mwanamuziki na muigizaji nchini #MimiMars amedai kuwa hawezi kugombana mwanamke mwenzake kisa mwanaume niaibu kwake kwa jinsi alivyolelewa.

Akizungumza na waandishi wa habari mwanadada huyo ameeleza yeye hawezi kugombana na mwanamke mwenzie kisa mwanaume ni aibu, na anadai hayo mambo yamepitwa na wakati unatakiwa kupambana na hali. Hata hivyo msanii huyo ameeleza kuwa ukimuona mwanamke anagombana kisa wanaume hadharani basi ndiyo tabia yake na alivyolelewa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post