Best Naso adai kufanyiwa uhuni kwenye muziki

Best Naso adai kufanyiwa uhuni kwenye muziki

Msanii wa #BongoFleva, #BestNaso adai kufanyiwa uhuni kwenye muziki baada ya kuachia video yake ya ‘Simpendi Mama’ kutoka kwenye EP yake ya ‘Top4 Story’ miezi miwili iliyopita, na  kuingia treding #YouTube lakini baadaye ikafutwa na watu wasiojulikana.

Akizungumza na waandishi wa habari Best Naso amesema kuwa watu wasiojulikana walimfanyia uhuni kwa kufuta moja ya wimbo uliyokuwa kwenye EP yake katika mtandao wa #YouTube kisa nyimbo zake zinafanya vizuri na watu wanazielewa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags