Ahmedi Ally: Tuzo ya mashabiki bora haitakaa ofisi ya Simba

Ahmedi Ally: Tuzo ya mashabiki bora haitakaa ofisi ya Simba

Afisa habari wa ‘Klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly ameeleza kuwa Tuzo ya mashabiki bora wa #AFL haitakaa kwenye ofisi za ‘Klabu’ hiyo bali itakuwa ikitembea kwenye matawi mbalimbali.

Akizungumza na waandishi wa habari leo msemaji huyo amesema Tuzo hiyo ya mashabiki bora haitaka kwenye ofisi zao bali itakuwa inazunguka kwenye matawi ili wabaki na kumbukumbu.

Tuzo hiyo ilitolewa katika ‘fainali’ ya African Football League (AFL) 2023 Novemba 12.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post