Kijana mmoja kutoka nchini India aliyefahamika kwa jina moja George ameripotiwa kufunga ndoa na Mbuzi baada ya kuvunjika moyo kutokana na mahusiano yake ya nyuma.Inaelezwa kuw...
Mashabiki, ndugu, jamaa pamoja na wasanii wamejitokeza kutoa heshima za mwisho kwa mwanamuziki Rubby Perez aliyefariki dunia kwa kuangukiwa na paa wakati alipokuwa akitumbuiza...
Mwigizaji na mfanyabiashara Jacqueline Wolper ametia neno kuhusiana na ishu nzima ya Zaiylissa na Haji Manara kurushiana maneno mitandaoni huku akiwataka kuacha kutoleana siri...
Aliyekuwa mume wa mwigizaji Zaiylisa, Haji Manara ameendelea na msimamo wake wa kutoongea chochote mpaka pale muda sahihi utakapo amua hilo.Kupitia ukurasa wake wa Instagram a...
Unaweza kusema haikuwa bahati kwa waliokuwa wakipendanao, Haji Manara na mwigizaji Zaiylissa. Baada ya wawili hao kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii wakionesha penzi...
Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mshirika wa kundi la muziki la Navykenzo, Aika amewashauri wasichana kutokuwa na matarajio makubwa kutoka kwa wanaume.Aika ameyasema hayo k...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva aliyejizolea umaarufu kupitia wimbo wake ‘Kubali’, Lody Music ameiambia Mwananchi Scoop kuwa anaamini kupanda na kushuka ni sehemu ya ma...
Mwimbaji wa merengue mwenye umri wa miaka 69 kutoka Jamhuri ya Dominika, Rubby Pérez anayejulikana kwa vibao vilivyotamba kwenye Billboard kama “Tu Vas a Volar,&r...
Mwanamuziki kutoka Canada, Justin Bieber amefunguka ukweli kuhusiana na aliyofanyiwa na rapa Diddy ambaye kwasasa yupo gerezani akisubilia kesi yake kuanza kuzikilizwa Mei 202...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy ametoa somo kwa wasanii wa Afrika akidai kuwa mashabiki wazawa hawatoshi kumfikisha mbali msanii."Wasanii wapendwa msiruhusu kurasa...
Wakati baadhi ya watu wakidhani anachokifanya Savanna Benson ‘Rais wa First Year’ ni maudhui tu. Mtengeneza maudhui huyo ya mtandaoni anasema kila anachokifanya kw...
Peter AkaroLicha ya ugomvi wao miaka ya hivi karibuni, hilo haliondoi ukweli kuwa Staa wa Konde Music Worlwide, Harmonize anamtazama Diamond Platnumz kama mfano wa kuigwa (rol...
Peter Akaro Miongoni mwa nyimbo maarufu za Oliver Mtukudzi duniani ni ule uitwao 'Neria' ambao aliuandika maalumu kwa ajili ya kutumika katika filamu (Soundtrack) in...