Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, kutana na mwanaume kutoka India aitwaye Mahant Amar Bharati Ji ambaye amenyanyua mkono wake wa kulia juu kwa zaidi ya miongo minne (k...
Baada ya ukimya wa miaka kadhaa akiwa gerezani mwanamuziki kutoka Marekani, R. Kelly ni kama amefufuliwa upya ambapo kwa mara ya kwanza amefunguka kudai kuwa muziki ndio ugonj...
Baada ya kutolewa kwa taarifa kuwa kutakuwa na burudani wakati wa mapumziko kwenye Kombe la Dunia, na sasa Rais wa FIFA, Gianni Infantino ameonesha nia ya kumtaka Drake kutumb...
Rais wa FIFA, Gianni Infantino amethibitisha rasmi mabadiliko makubwa ya fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026 ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo, kut...
Ikiwa zimepita siku chache tu tangu kuweka rekodi kupitia onyesho lake la ‘Super Bowl Halftime’, ambalo limekuwa tamasha lililotazamwa zaidi katika historia, na sa...
Moja ya show ambayo imekuwa ikifanya vizuri kila mwaka ni na Show ya Halftime ya Super Bowl ambayo imeonesha ukubwa wake katika ufuatilia kwenye mitandao ya kijamii huku show ...
Show ya Halftime ya Super Bowl imekuwa ikifanya vizuri miaka yote, ikianza kama tukio dogo la maandamano ya kutumia bendi na kisha kuwa tamasha kubwa linalowavutia mastaa wa m...
Wakati mashabiki wakiendelea kumpa Kendrick Lamar maua yake kutokana na alichokifanya kwenye ‘Super bowl Half Time Show’ 2025, tayari baadhi ya mashabiki wameanza ...
Baada ya Rais wa Marekani Donald Trump na mkali wa Pop Taylor Swift kutangazwa kuwepo katika fainali za ‘Super Bowl LIX’, sasa inaelezwa kuwa rapa Kanye West na mk...
Rapa Lil Wayne ametangaza kutohudhuria Half Time Show ya Super Bowl inayotarajiwa kufanyika Februari 9, 2025 kwenye mji aliozaliwa rapa huyo 'New Orleans'.Wayne amesema kuwa h...
Nyota anayetamba na ngoma ya ‘Not Like Us’ Kendrick Lamar ambaye atatumbuiza katika onyesho la Halftime la Super Bowl ameripotiwa kuwa hatofanya show hiyo mwenyewe...
Mwanamuziki Chris Brown amewashtaki watayarishaji wa makala inayoeleza unyanyasaji aliyowahi kuufanya, iitwayo ‘Chris Brown: A History of Violence’ akidai kuwa mak...
Mwanamuziki Justin Bieber amewashtua mashabiki baada ya kufuta urafiki na mkewe Hailey Bieber kwenye mtandao wa Instagram jambo ambalo limeibua mijadala mtandaoni. Hatua hii i...
Mtengeneza maudhui kutoka nchini Marekani Mr Beast ambaye alijulikana zaidi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuzikwa akiwa hai kwa siku saba, ameweka wazi kuwa anashirikia...