28
Mr Ibu azikwa, fahamu zaidi kuhusu maisha yake
Marehemu mwigizaji kutoka Nigeria John Okafor (62) maarufu Mr Ibu ambaye alifariki Machi 2, 2024 tayari amezikwa katika mji aliozaliwa wa #Amuri, Jimbo la #Enugu nchini humo.I...
28
Wake wawili wa Mr Ibu wafunguka
Wake wawili wa marehemu mwigizaji Mr Ibu, Ifeyinwa Okafor na Stella-Maris Okafor wamehudhuria msibani kwa mume wao licha ya kutokuwa na maelewano mazuri kwa muda mrefu.Kwa muj...
28
Mr Ibu kuzikwa leo
Marehemu mwigizaji kutoka nchini #Nigeria John Okafor (62) maarufu Mr Ibu anatarajia kuzikwa leo Juni 28, 2024 katika mji aliozaliwa wa #Amuri, Jimbo la #Enugu.Mr Ibu alifarik...
03
Mr Ibu bado hajazikwa, kamati yaomba msaada
Baada ya kutangaza tarehe ya mazishi ya mwigizaji kutoka Nigeria Mr Ibu, mwenyekiti aliyeteuliwa kusimamia mazishi ya mwigizaji huyo Monday Diamond A. JP (Odoziobodo) ametoa w...
16
Mr Ibu kuzikwa mwezi wa sita
Marehemu muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor (62) maarufu kama Mr Ibu anatarajiwa kuzikwa Juni 28, 2024. Taarifa hiyo imetolewa na kaka mkubwa wa Mr Ibu, Sunday Okafor...
26
Watoto wa Mr Ibu waiba pesa za matibabu za baba yao
Onyeabuchi Okafor ambaye ni mtoto wa kiume wa muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor, maarufu kama Mr Ibu na mtoto wa kike wa kuasili aitwaye Jasmine Okekeagwu, wamedakwa...
17
Maendeleo ya Mr Ibu baada ya kukatwa mguu
Baada ya familia ya muigizaji kutoka nchini #Nigeria Mr Ibu kukatwa mguu kwa ajili ya kuokoa maisha yake, binti yake anaye fahamika kwa jila la Chioma Jasmine amewatoa hofu ma...
07
Mr Ibu akatwa mguu
Muigizaji maarufu kutoka nchini Nigeria, Mr Ibu amekatwa mguu wake mmoja kutokana na ugonjwa unaomsumbua ambapo familia haijaweka wazi maradhi yanayo msumbua muigizaji huyo. K...
01
Mr ibu afanyiwa upasuaji, Yupo ICU
Baada ya muigizaji kutoka nchini Nigeria Mr Ibu kuomba msaada kupitia mitandao ya kijamii ili aweze kuchangiwa kiasi cha pesa kwa ajili ya matibabu, hatimaye muigizaji huyo ta...
19
Muigizaji mr Ibu aeleza kukatwa miguu, Aomba msaada
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Nigeria, John Ikechukwu, maarufu kama Mr Ibu ameweka wazi kuwa anapambana na ugonjwa unaotishia maisha yake huku akiwaomba watu kumsaidia pesa ...

Latest Post