13
Filamu 68 zapenya ZIFF 2025, Kombolela, Jacobs Daughter zatajwa
Filamu 68 zitachuana kuwania tuzo katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) linalotarajiwa kuanza kufanyika Juni 25 hadi 29, 2025.Filamu hizo zilizochaguliwa ni kati ...
13
Grammy Wafanya Marekebisho Kwenye Vipengele Vya Tuzo
Kampuni ya Recording Academy ambao ni wagawaji wa tuzo za Grammys wametangaza mabadiliko katika tuzo hizo kwa mwaka 2026 ambapo watagawanya tuzo ya ‘Best Country Album&r...
13
Safari mpya ya Mbosso, mastaa wampa maua yake
Wakati wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wametulia usiku majumbani kwao wakitumia muda huo kupumzika, kwa upande wa mwanamuziki Mbosso usiku wa kuamkia leo Juni 13,2025 u...
13
Moni: Hakuna Kipengele Kufanya Kazi Na Country Boy
Msanii wa Hip-hop nchini, Moni Centrozone amewekawazi sababu inayopelekea kundi lao la MOCO lisiwe na mfululizo mzuri wa kuachia nyimbo.Hii ni kufuatia kutokuwepo kwa mfululiz...
13
Dj Mushizo Apata Ajali Ya Moto, Meneja Asimulia
Meneja Msaidizi wa Dj Mushizo, Ally Masupu amesema chanzo cha moto kilichosababisha msanii huyo kupata ajali ya moto ni shoti ya umeme.Mashizo alikumbwa na ajali hiyo jana saa...
12
Taylor Terry, Malkia wa Jukwaa aliye nyuma ya Chris Brown
Jina la Taylor Terry huenda si maarufu kwa watu wasiopendelea mitandao ya kijamii, lakini katika ulimwengu wa TikTok mwanadada huyo amekuwa akifuatiliwa zaidi kupitia video za...
12
Vitu wanavyovizingatia Mabantu kabla ya kolabo
Kundi maarufu la muziki wa Bongo Fleva nchini, Mabantu ambao kwa sasa wanatamba na ngoma ya ‘Vibaya’ waliyoshirikishwa na msanii wa Singeli Dogo Elisha, wameweka w...
12
Rapa Silento Ahukumiwa Miaka 30 Kwa Kumuua Binamu Yake
Rapa maarufu kutoka Marekani, Ricky Lamar Hawk 'Silentó' (27) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumuua binamu yake ‘Frederick Rooks III’ m...
12
Miaka 25 ya Westlife waja kivingine, mmoja ajitoa
Kundi la muziki kutoka Ireland, ‘Westlife’ ambalo lilitamba na ngoma zake kama ‘My Love’, ‘Soledad’ katika miaka ya 2000, limeripoti kutimi...
11
Ustaa Unavyomtesa Chris Brown
Mwanamuziki kutoka Marekani, Chris Brown ‘Breezy’ ameweka wazi kuwa maisha ya umaarufu yamekuwa na athari kubwa katika afya yake ya akili, huku akieleza kuwa kuna ...
11
Kanye West Abadili Jina Tena, Sasa Anaitwa YE YE
Rapa na mjasiriamali wa mitindo, Kanye West, ambaye anafahamika pia kama 'Ye' amebadilisha tena jina lake na sasa anatambulika kama 'Ye Ye' ikiwa ni miaka ...
11
Vigezo Vinavyoangaliwa Msanii Kushinda Tuzo Za BET
Kumekuwa na sintofahamu katika mitandao ya kijamii kufuatia mwanamuziki Abigail Chams, kushindwa kubeba tuzo za BET 2025, tukio lililofanyika hivi karibuni huko Los Angeles, M...
11
Ushauri Wa Nenga Kwa Chipukizi
Msanii wa Bongo Fleva, Billnass ametoa ushauri kwa vijana na marafiki zake ambao wanavipaji vinavyohusisha umaarufu lakini bado wanajitafuta huku akiwataka kuwa wastamilivu na...
11
The Weekend Aweka Rekodi Nyingine
Mwanamuziki wa Canada, The Weeknd ameandika historia mpya ‘MetLife Stadium’, Marekani kwa kuwa msanii wa kwanza wa kiume mweusi aliyeingiza pesa nyingi zaidi kweny...

Latest Post