Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na jukwaa la mahusiano la OnePull, umebaini kuwa asilimia 50 ya wanawake ambao wapo kwenye ndoa au mahusiano wanadaiwa kuwa na wapenzi wa aki...
Staa wa Bongofleva kutokea Next Level Music (NLM), Rayvanny katika kipindi cha miaka tisa ya umaarufu wake kimuziki, amefanikiwa kutoa Extended Playlist (EP) tano pamoja na al...
Baada ya mwanamuziki Zuchu kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Amanda’ ambayo haijapokelewa vizuri na baadhi ya mashabiki wakiunanga kuwa wimbo huo ni mbaya, hayimaye...
Mwanamuziki maarufu wa hip hop Busta Rhymes ametunukiwa rasmi nyota ya ‘Hollywood Walk of Fame’, ikiwa ni heshima kubwa kwa mchango wake katika muziki na burudani ...
Mwigizaji mkongwe wa Marekani, Liam Neeson (73) anaripotiwa kuzama katika uhusiano mpya na mwanamitindo, Pamela Anderson (58) licha ya hapo awali kudai amefunga ukurasa huo ku...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limekanusha madai ya msanii wa vichekesho Ebitoke kutekwa na watu aliowataja kwenye ukurasa wake wa Instagram, kama ilivyoelezwa. Akizungumza Ka...
Msanii wa singeli, Dulla Makabila wiki hii 'ametrend' baada ya kutupia picha yenye mwonekano mpya ikimuonesha kung'aa zaidi sura na kuwa mweupe.Kutokana na mwon...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Down’, ameweka wazi sababu kubwa inayomfanya awekeze nguvu katika sh...
Kesi ya mwigizaji wa Bollywood, Salman Khan inazidi kupamba moto ambapo inatarajiwa kurudishwa tena Mahakama kuu ya Rajasthan, Septemba 22,2025 kwa ajili ya kusikiliza rufaa d...
Kila ifikapo mwisho wa mwezi wafanyakazi kutoka mashirika mbalimbali akili yao huwa ni moja tuu kupokea mshahara ili aende kumwagilia moyo, lakini wengi wao hawaju maana ya ne...
DJ na mwanahabari mkongwe nchini, DJ Nicotrack ameelezea sababu inayosababisha nyimbo za zamani kudumu katika ubora na masikioni mwa mashabiki kuliko za sasa.Nicotrack amesema...
Soksi moja ya mfalme wa muziki wa Pop duniani, Michael Jackson ambayo aliivaa wakati wa tamasha nchini Ufaransa miaka ya 1990 imeuzwa kwa zaidi ya dola 8,000 sawa na Sh21 mili...
Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu Sean “Diddy” Combs ameamua kupindua meza, hii ni baada ya kutaka afutiwe makosa mawili yaliyobaki kwa kudai kuwa hakuvunja sh...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Zuchu ametoa onyo kwa mtu mmoja ambaye anadaiwa kuwa mwanamke kwa kumtafuta mumewe msanii Diamond Platnumz usiku.Kupitia ukurasa wake wa Inst...