18
Albamu Mpya Ya Nandy 2025 Ina Maana Gani
Na Peter AkaroStaa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao...
09
Rekodi alizoweka SZA kupitia albamu yake SOS
Leo Desemba 9 album ya SZA inayoitwa 'SOS' imetimiza miaka 2 tangu kuachiwa kwake huku, mkali huyo akitangaza kuachia toleo jipya la album hiyo ya SOS (Deluxe) hivi karibuni.H...
02
Mpango wa Cardi B kutoa albamu upo pale pale
Baada ya kutangaza kupeleka shauri mahakamani la kudai talaka pamoja na kuweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa tatu ‘rapa’ Cardi B anaripotiwa kuendelea na mp...
08
Wasanii Bongo walivyokwepa albamu na kugeukia EP
Utoaji wa albamu kwa wasanii ni moja ya kitu kinachotafsiriwa kama mafanikio yake kwenye kazi ya muziki. Licha ya kuwa albamu hutafsiriwa kwa upande huo, lakini kwa sasa wasan...
11
Albamu ya Zuchu mbioni kutoka
Baada ya mzalishaji muziki nchini Trone, kuthibitisha ujio wa albamu ya mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuchu, sasa msanii huyo amesema imekamilika kwa asilimia 100.Zuchu ametoa ta...
03
Mke wa Obama aikubali albamu ya Beyonce
Baada ya albamu ya mwanamuziki Beyonce iitwayo ‘Cowboy Carter’ kutajwa na mashabiki kuwa ndiyo albamu bora ya mwaka 2024, sasa imemfikia mke wa aliyekuwa Rais wa M...
11
Mtoto wa Kanye West mbioni kuachia albamu yake
Binti wa mwanamuziki Kanye West, North West (10) ametangaza ujio wa album yake wakati alipokuwa jukwaani na baba yake usiku wa kuamkia leo katika ‘Vultures 2 listening p...
11
Albamu ya kwanza ya Tems kuachiwa mwaka huu
Baada ya kushiriki kuandika nyimbo za mastaa wakubwa duniani kama Beyonce na Rihanna, hatimaye Temilade Openiyin ‘Tems’ kutokea nchini Nigeria ametangaza kuwa mwak...
06
Kwenye GRACE ya Otile, yumo Rayvanny, Baraka, Eddie Kenzo
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, #OtileBrown, ametoa orodha ya nyimbo 11 zilizopo kwenye albamu yake mpya 'GRACE', inayotarajiwa kutoka Februari 23, 2024. Ndani ya albamu hiyo...
01
Usher ampa shavu Burna Boy
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #BurnaBoy amepewa shavu na mwananuziki wa Marekani Usher kwa kushirikishwa kwenye albamu yake iitwayo ‘Coming home’ inayotarajiwa...
13
Albamu noma kwa Tyla
Mwanamuziki kutoka nchini Africa Kusini Tyla ambaye anaendelea kuupiga mwingi kupitia wimbo wake wa ‘water’ ametaja wasanii na album zinazo muhamasisha zaidi ikiwe...
08
The Weekend na ujio wa albamu mpya
Mwanamuziki kutoka nchini #Canada #TheWeeknd atangaza kutoa albumu yake mpya hivi karibuni ingawa bado hajaweka wazi jina la albumu hiyo.    The Weeknd amethibi...
15
Albamu yamrudisha Kanye West Instagram
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #KanyeWest, amerejea kwenye mtandao wa #Instagram baada ya kutotumia mtandao huo kwa zaidi ya miezi mitano. Kanye amerejea kipindi a...
12
Kumbukumbu ya Zahara kwenye mapenzi yake kwa muziki
Siku zote mshumaa ukizimika huacha giza, ndicho kilichotokea kwa wadau na mashabiki wa burudani mwishoni mwa mwaka 2023, licha ya kuwa wapo wasanii wengi chipukizi waliojitoke...

Latest Post