Kampuni ya Meta ipo mbioni kuja na miwani mpya yenye teknolojia ya hali ya juu ambayo inatajwa kuwa na uwezo wa kuunganisha ulimwengu wa kidigitali.Miwani hiyo iliyopewa jina ...
Msanii wa muziki Bongo Nay Wa Mitego ameitwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kufuatia wimbo wake wa ‘Nitasema’.Nay kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka w...
Rapa kutoka Marekani Offset amedai aliyekuwa mkewe na mzazi mwenzie Cardi B aliwahi kuchepuka kipindi akiwa na ujauzito wa mtoto aliyejifungua hivi karibuni.Offset ameyazungum...
Ikiwa zimetimia siku 11 tangu mkali wa Hip hop Marekani, Sean Combs 'Diddy' ashikiliwe na polisi kwa makosa matatu, mojawapo likiwa la biashara ya ngono, hatimaye mwanasheria ...
Baada ya mwigizaji Salim Ahmedy ‘Gabo Zigamba’ kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Comoro, amefunguka kuwa ni muda wa watengenezaji filamu kujitoa ili kazi zao z...
Mwanamuziki wa Marekani Nicki Minaj ameeleza kuwa wimbo wa mkali wa Afrobeat Wizkid ‘Essence’ unastahili kushinda tuzo ya Grammy kutokana na ubora wake.Rapa huyo a...
Kufuatia tuhuma zinazomkabili mkali wa Hip hop kutoka Marekani Diddy, Sean ‘Diddy’ Comb huku baadhi ya mastaa mbalimbali kuhusishwa kwenye kesi zake, meneja wa msa...
Baba mmoja kutoka Pakistan ambaye hajawekwa wazi jina lake amewavutia wengi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumvalisha binti yake kamera ya ulinzi (CCTV) kichwani ili kuf...
Kutokana na tabia ya baadhi ya wasanii kudanganya umri na kutaja mdogo zaidi uoga wa uzee na ubaguzi unataja kuwa chanzo cha kufanya hivyo. Akizungumza na Mwananchi Scoop mwan...
Wengi wanadhani kuwa watumiaji wa iPhone ni watu wenye fedha na elimu. Licha ya dhana hizo utafiti uliofanyika China ulibaini kuwa mawazo hayo ni tofauti na uhalisia.Utafiti h...
Mwanamuziki kutoka Marekani ambaye kwa sasa anashikiliwa kwenye gereza la ‘Metropolian Detention Center’, Sean “Diddy” Combs ameripotiwa kugoma kula ch...
Ni kawaida kuona povu linalofanana na mate kwenye mimea hasa asubuhi au kipindi cha masika. Povu hilo wengi huamini ni mate ya nyoka na kusababisha kuogopa kuyashika.Licha ya ...
Msanii wa Hip Hop, Chid Benz amesema ameamua kutembea kwa miguu kutokana na madereva wengi wa bodaboda kuogopa kumbeba wakidhani hatawalipa nauli zao.Chid ambaye aliwahi kutam...
Mwanamuziki wa Marekani Al B. Sure ambaye pia ni mzazi mweza wa Kimberly Porter ameiomba mahakama kufanya uchunguzi upya kuhusiana na kifo cha mwanadada huyo ambaye pia alikuw...