RIPOTI: Zaidi ya watu 300 wafariki kwa ajali za barabarani

RIPOTI: Zaidi ya watu 300 wafariki kwa ajali za barabarani

Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imebaini kuwa vifo vingi hutokana na ajali nyingi ambazo zinasababishwa na uhaba wa vitendea kazi, taa za barabarani, kamera na vipima ulevi.

Huku baadhi ya wanasiasa kuingilia kati utekelezaji wa sheria barabarani, ubovu wa barabara, hulka za binadamu kuamini ajali hazizuiliki na uwepo wa madereva wengi wasio na sifa na vigezo.

Aidha vifo hivyo vimetokana na matukio 281 ya ajali za barabarani ikiwa ni ongezeko la makosa 8 sawa na 2.9% ya takwimu kama hizo kwa mwaka 2021. Idadi ya waliofariki mwaka 2021 walikuwa ni 367.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags