11
Taylor Swift awatunuku timu ya Eras Tour maokoto
Mwanamuziki kutoka Marekani Taylor Swift ameitunuku timu yake ya ‘Eras Tour’ bonasi ya dola 197 milioni kama ishara ya kuthamini juhudi zao katika ziara yake hiyo....
05
Punguza marafiki wabaki watu muhimu
Na Michael Anderson  Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguza marafi...
23
Harmonize: Huwezi kushinda Grammy kwa kusalimia watu
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Harmonize amerusha dongo kwa msanii mwenzake Diamond baada ya kushindwa kuchaguliwa kuwania tuzo za muziki Marekani Grammy kwa kudai kuwa huw...
09
Ujio wa Idris Elba wafanya Anko Zumo awatulize waigizaji
Baada ya mwigizaji kutoka Uingereza, Idris Elba kutangaza kuhamia Afrika katika kipindi cha miaka 10 ijayo kwa lengo kukuza tasnia ya filamu huku akitaja maeneo atayoishi ikiw...
01
Siku moja, sehemu tatu tofauti, watu wale wale
Kila kitu kimebadilika. Hata Hayati Magufuli naye akiibuka hii leo atastaajabu vitu vingi. Ulitegemea Bunge hili kuwa nje ya mikono ya Job Ndugai? Ulitegemea Alikiba kuhamia S...
25
Utafiti: Watumiaji wa Iphone wanakiwango kidogo cha fedha na elimu
Wengi wanadhani kuwa watumiaji wa iPhone ni watu wenye fedha na elimu. Licha ya dhana hizo utafiti uliofanyika China ulibaini kuwa mawazo hayo ni tofauti na uhalisia.Utafiti h...
11
Lady Gaga alivyotinga vazi lililotengenezwa kwa nyama
Ubunifu ni kati ya kitu muhimu kwa wasanii kama njia ya kuwapa utambulisho na kuwafanya waendelee kujitengenezea utofauti. Ili kuwa na utofauti wapo waliowekeza ubunifu kwenye...
11
Dj khaled amtamani Rihanna, Awatuma mashabiki kufikisha ujumbe
Mtayarishaji wa nyimbo kutoka nchini Marekani DJ Khaled amewataka mashabiki wake kumshawishi Rihanna kushiriki katika albumu yake mpya. Mkali huyo mwenye umri wa miaka 48 amet...
08
Fanya haya kutengeneza sauti yako kwa ajili ya kuimba
Zipo imani nyingi juu ya kutunza sauti kwa ajili ya uimbaji, wapo mwanaodai kuwa mayai na asali ni kati ya vitu muhimu katika kuboresha sauti ili iwe na mvuto. Sambamba na hay...
08
TBT za mastaa ni hamasa kwa mashabiki
Kila ifikapo siku ya Alhamisi watu hupamba mitandao ya kijamii kwa picha na video za matukio yaliyopita. Matukio hayo hugusa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye michezo, familia ...
07
Mrs Energy awahamishia upepo mashabiki wake
Na Aisha Charles Safari moja huanzisha nyingine, ndivyo ilivyo kwa mchezaji dansi Set Fibby, maarufu kama Mrs Energy, baada ya kuamua kujikita katika muziki wa Bongo Fleva, ha...
04
Gara B, Dokta Cheni wanavyobamba na nyimbo za wasanii wakongwe
Ukisikia cha kale dhahabu ndiyo hiki, kwa sasa kwenye sherehe kama vile harusi, 'Send Off' na 'Kitchen Party' siyo ajabu kusikia ngoma za zamani zikipigwa na wageni waalikwa w...
03
Wasanii wa filamu Bongo watua Korea
Wasanii wa filamu Tanzania wamewasili Korea kwenye ziara yao ya kujifunza mambo ya filamu. Baadhi ya mastaa wa filamu ambao wapo kwenye ziara hiyo ni Irene Paul, Wema Sepetu, ...
26
Kehlani adai kukosa ‘madili’ kisa Palestina
Mwanamuziki kutoka Marekani, Ashley Parrish, ‘Kehlani’, ameweka wazi kuwa alipata hasara kwa kupoteza fursa za mikataba baada ya kutoa msaada kwa watu wa Palestina...

Latest Post