Msanii Diamond Platnumz anaripotiwa kununua gari zingine mbili aina ya mercedes Benz nyeusi ambapo inaelezwa kuwa moja kati ya hizo haipitishi risasi yaani 'Bullet Proff'. Taa...
Toleo la 22 la tamasha la muziki la Sauti za Busara linalofanyika kila mwaka mwezi Februari Visiwani Zanzibar, limetajwa kuja kivingine huku likiongeza wasanii wa ndani na nje...
Mwanamuziki Justin Bieber amewashtua mashabiki baada ya kufuta urafiki na mkewe Hailey Bieber kwenye mtandao wa Instagram jambo ambalo limeibua mijadala mtandaoni. Hatua hii i...
Kwa Bongo ni nadra kukuta nyimbo za hip-hop zikipendwa na wanawake ama kuchezwa club, isipokuwa za wasanii wachache ndiyo hupata bahati hiyo.Kati ya wasanii hao ni Moni Centro...
Mwanamuziki wa Hip Hop na mtangazaji nchini Frida Amani anatarajiwa kufanya show katika tamasha la Sauti za Busara 2025, linalotarajia kufanyika kuanzia Februari 14 hadi 16.St...
Mtindo wa kusimulia visa na matukio kupitia muziki hasa wa Rap au Hip Hip uliteka hisia za wengi kipindi cha nyuma, jumbe za kuelimisha ndizo zilichukua nafasi kwa asilimia ku...
Mwandishi Wetu, Mwananchi
Miaka 12 iliyopita, msanii Naseeb Abdul 'Diamond aliwahi kueleza Bila malipo ya Sh 10 Milioni hafanyi kolabo.
Hiyo ilikuwa ni Juni 6, 2012, wa...
Na Peter AkaroStaa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao...
Filmu iliyochezwa na marehemu mkali wa Hip Hop Marekani Tupac Shakur iitwayo ‘JUICE’ imetimiza miaka 33 ambapo ilitoka rasmi siku kama ya leo Januari 17 mwaka 1992...
Aliyekuwa mhudumu wa shirika la ndege la ‘Alaska Airlines’ Nelle Diala amefukuzwa kazi baada ya video yake akiwa anakatika viuno (kucheza) kusambaa kwenye mitandao...
Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazama muziki wa YouTube.Kwa mujibu wa mtandao...
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusiana na tuzo za Oscars kuahirishwa kufuatiwa na tukio la moto lililotokea jijini Los Angeles katika milima ya Hollywood, na sasa taarifa rasmi ...
Mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan ameripotiwa kufanyiwa upasuaji wa dharura katika Hospitali ya Lilavati jijini Mumbai baada ya kuchomwa kisu na jambazi ...