Katika mazingira ya kazi, kuna vitu vingi vinavyoweza kujadiliwa kwa uwazi kati ya wafanyakazi, lakini pia kuna mambo ambayo ni bora kubaki siri. Kuweka mipaka katika masuala ...
Wakati baadhi ya wazazi wa Bongo wakiwatafutia watoto wao wenza katika familia zenye uwezo ama ambazo wanajuana nazo kwa muda mrefu, lakini jijini Shanghai nchini China ni tof...
Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha kwenye gemu mwaka 2020 baada ya kutambulishwa kwenye lebo hiyo y...
Mwanamuziki wa Marekani Kendrick Lamar ametajwa kuwa rapa bora wa mwaka 2024.Kupitia mtandao wa kuuza muziki ‘Apple Music’ Lamar ametajwa kuwa ndio rapa mwenye ush...
Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Joel Lwaga ameendelea kuonesha ubabe wake kwenye mtandao wa kusikiliza muziki wa Apple Music kwa kuendelea kushika namba moja kwa wiki t...
Ukiwa mtu wa mitandao lazima utakuwa umekutana na picha au video za kutisha zikiwahusisha baadhi ya watu wakiwemo mastaa mbalimbali wakiwa kwenye mionekano ya ajabu. Kawaida p...
Ikiwa zimepita siku nne tangu mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Sean “Diddy” Combs, kutokuwepo uraiani, baadhi ya mastaa wameibuka katika mitandao ya kijamii wakida...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Paul Okoye maarufu Rudeboy amethibitisha kuwa kundi la ‘Psquare’ alilolianzisha yeye na pacha wake Peter Okoye limevunjika milele.Rude a...
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka Marekani, Lady Gaga amelianika hadharani kundi la zamani la Facebook la chuo kikuu cha New York na kudai kuwa kundi hilo lilimwambia hatokuja k...
Mwigizaji mkongwe kutoka Marekani Sylvester Stallone maarufu Rambo amefunguka kuja na kitabu chake kitachoelezea kuhusu safari yake hadi kuwa nyota mkubwa.Kwa mujibu wa Tmz ny...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini D Voice amedai kuwa yeye ndiyo msanii mdogo kutoka Afrika Mashariki anayerekodi video za mkwanja mrefu, huku akiwataka wanaobisha kuonesha mi...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' amewekawazi kuwa ndoto yake kubwa kwa sasa ni kuwa tajiri namba moja duniani huku akiweka ahadi ya kuwa mtan...