Michel Lotito maarufu Monsieur Mangetout ‘Bwana mla kila kitu’ kutoka Ufaransa aliingia katika kitabu cha Rekodi ya dunia Guinness, baada ya kuweka rekodi ya mtu a...
Peter Akaro
Imekuwa ajabu kuona wimbo wa Rayvanny, Nesa Nesa (2024) uliotoka takribani miezi mitatu iliyopita ukirejea tena katika chati na sasa challange zake zimeshika kasi ...
Takribani miezi mitatu sasa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania hususani TikTok na Instagram wamekuwa wakitumia wimbo wa ‘Halali’ katika machapisho ya...
WhatsApp imeweka feature mpya inayowaruhusu watumiaji wake kuweka wimbo wowote waupendao kwenye hadithi (status).Kwa kutumia feature hiyo mpya unaweza kuchaguwa kipande cha wi...
Peter Akaro Baada ya rapa aliyetamba na kundi la Nako 2 Nako Soldiers na sasa Weusi, Lord Eyes kudai muziki wa Hip Hop Bongo kuna sehemu umekwama, wasanii wenzie wamejibu kaul...
Mzalishaji muziki maarufu nchini S2kizzy ‘Zombie’ ameendelea kujimwagia maua yake huku akidai hakuna producer mwingine kutoka Bongo anayeweza kumfikia.Zombie ameya...
Kelvin KagamboUkitaja wasanii watano wakubwa wa kuimba Tanzania wanawake wapo. Ukitaja waigizaji wakubwa wa filamu Tanzania wanawake wapo.Ukitaja madairekta wakubwa wa michezo...
Mwanamuziki Diamond Platnumz mbali na kutoa ngoma kali kama ‘Komasava’ lakini pia anatajwa kuiunganisha Bongo Fleva na muziki wa Congo. Huku akilete ladha tofauti ...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, kutana na mwanaume kutoka India aitwaye Mahant Amar Bharati Ji ambaye amenyanyua mkono wake wa kulia juu kwa zaidi ya miongo minne (k...
Baadhi ya watumiaji wa simu za mkononi wamekuwa wakijiuliza ni jinsi gani wanaweza kuficha meseji za kawaida kwenye simu zao ili mtu mwingine asizione wala kuzifungua.Zifuataz...
Marehemu mfalme wa Pop Marekani, Michael Jackson anatajwa kuwa mwanamuziki ambaye alikuwa na mapenzi makubwa katika katuni huku akiweka wazi kuvutiwa na filamu za katuni.Wakat...
Ni wazi kumekuwa na makundi mengi ya muziki ambayo yamevunjika, sio tu Tanzania bali hata sehemu nyingine mfano kundi la P-Square lililokuwa likiundwa na ndugu wa...
Peter AkaroMwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian (44) amepanga kumpa mtoto wake wa kwanza, North, 11, pete ya almasi aliyovishwa wakati anachumbiwa na aliyekuwa mume wake, ...
Baada ya rapa Jay Z kufutiwa kesi iliyokuwa ikimkabili na Diddy wakishtumiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 13 mwaka 2000 kwenye tuzo za video za muziki MTV Award, Mwanamk...