Baada ya miezi tisa baharini, meli kubwa zaidi duniani iitwayo ‘Royal Caribbean’s Icon of the Seas’ imemaliza safari yake huku ikitarajiwa kurejea Miami siku...
Waswahili husema mcheza kwao hutunzwa, hivi ndivyo lafudhi ya Kimakonde ilivyobadili maisha ya Tabu Mtingita mzaliwa wa Mtwara kuwa miongoni mwa waigizaji mahiri nchini Tanzan...
Zaidi ya watu 1000 nchini Ujerumani siku ya Jana wamekusanyika katika maeneo mbalimbali kusherehekea kuhalalishwa kwa matumizi ya bangi nchini humo.
Licha ya ruhusa hiyo watum...
Taasisi ya Kimataifa ya Uchambuzi wa Mifumo (IIASA), imeeleza kuwa idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia bilioni 9.4 ifikapo mwaka 2070, licha ya kudaiwa kuwepo kwa ongeze...
Watu tisa wamefariki na wengine zaidi ya 80 kulazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana katika kaunti ya Marsabit kaskazini mwa Kenya.
Msimamizi wa eneo hi...
Watu tisa wamefariki na wengine 30 kujeruhiwa kutokana na ajali iliyotokea katika Mlima mkali wa Nkondwe, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi baada ya basi leny...