Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne.
Imeelezwa kuwa wa...
Kiongozi wa Upinzani nchini Korea Kusini amechomwa kisu katika mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika katika mji wa Busan nchini humo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika ...
Baada ya nyota wa muziki #Zuchu kushambuliwa na watu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ngozi yake kuwa na madoa, huku wingine wakimtolea maneno ili aweke ngozi yak...
Baada ya mtu mzima #Diamond kupata mashambulizi ya ku-copy asilimia kubwa ya nyimbo za wasanii wengine kutoka nje ya nchi, #Simba hakutaka kulikalia kimya swala hilo, na kuanz...
Takriban watu saba wameuwawa siku ya jana wakati magari mawili yaliyobeba mabomu kulipuka nje ya kambi ya mafunzo ya kijeshi katika mji wa Bardhere, kusini mwa Somalia.
Moja y...
Polisi kutoka nchini Ubelgiji, wamewakamata takribani watu saba siku ya alhamisi wanaoshukiwa kulisaidia kundi la Islamic State, na njama ya shambulizi la kigaidi kwa mujibu w...
Wanajeshi wasiopungua 51 wa Burkina Faso wameuwawa katika shambulizi la kustukiza lililotokea eneo la kaskazini mwa nchi hiyo linalofahamika kwa hujuma kubwa za makundi ya iti...
Shirika linalofuatilia haki za binadamu nchini Syria limesema watu 14 wamefariki dunia baada ya shambulizi kufanywa katika msafara wa kijeshi wa waasi wanaoungwa mkono na Iran...
Watu wawili akiwemo mwanajeshi mmoja wamekufa katikati mwa Somalia kufuatia shambulio la kujitoa muhanga lililofanywa jana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab, kundi lenye mafun...