Uchunguzi bado unaendelea Los Angeles katika kesi inayomkabili rapa ASAP Rocky, ambaye anakabiliwa na mashtaka mawili ya uhalifu, akidaiwa kumpiga risasi rafiki yake wa zamani...
Mwigizaji maarufu ambaye amefanya vizuri kupitia filamu ya Spider Man, Tom Holland amefunguka sababu ya kutoongozana na mpenzi wake Zendaya kwenye red carpets wakati wa uzindu...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini anayetamba na ngoma ya ‘Ololufemi’ Jux ameweka wazi tofauti kati ya mpenzi wake wa sasa Priscilla Ajoke na wapenzi wake wa nyuma ...
Kufuatia kifo cha mwigizaji Fredy Kiluswa kilichotokea jana Novemba 16,2024 katika hospitali ya rufaa Mloganzila, mwongozaji msaidizi wa tamthilia ya 'Mizani ya Mapenzi' Alex ...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na mtaalamu wa masuala ya ndoa na familia nchini Marekani, Gary Brown ameeleza kuwa kupumua mbele ya mpenzi wako (kujamba) kunaweza kuwa isha...
Na Peter Akaro
Miaka ya hivi karibu imekuwa siyo jambo geni kusikia nyimbo mpya za Bongofleva zikiwa na vionjo vya nyimbo za kitambo, hilo limekuwa likitoa nafasi kwa nyimbo h...
Mwanariadha kutoka Uganda wa mbio za Marathon, Rebecca Cheptegei amefariki dunia leo hii Septemba 5, 2024 wakati akipatiwa matibabu ya majeraha aliyoyapata baada ya kumwagiwa ...
Baada kuchafua mitandao ya kijamii kwa siku kadhaa mwanamuziki Juma Jux na mpenzi wake mpya Priscilla Ajoke raia wa Nigeria wameamua kumalizia bata lao nchini Tanzania.Kufuati...
Msanii wa Hip-hop nchini Abdulrazak Selemani ‘Toxic’ wakati akifanya mahojianoa na Mwananchi Scoop, ameweka wazi hisia zake za kimapenzi kwa mwanamuziki Abigail Ch...
Balozi wa mazingira nchini, Peter Msechu amesema wasanii wengi wamekuwa wakitunga na kuimba nyimbo nyingi zinazohusu mapenzi badala ya kuimba mambo ya msingi yenye maslahi kwa...
Na Glorian Sulle
Ndoa ni tukio la kisheria au kijamii na kihisia ambalo linaunganisha watu wawili au zaidi kwa madhumuni ya kuishi maisha ya pamoja. Kwa kawaida ndoa inajumuis...