17
Kijana wa miaka 15 azindua sabuni ya kutibu saratani ya ngozi
Kijana mmoja aitwaye Heman Bekele (15) kutoka Fairfax, Virginia ameripotiwa kuvumbua sabuni inayoweza kuzuia na kutibu saratani ya ngozi.Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini...
10
Salha afunguka, Sababu muziki wa taarab kusuasua
Mwanamuziki wa taarab, Salha Abdallah, ametoa ufafanuzi juu ya changamoto zinazokumba muziki wa taarabu na jinsi ambavyo umepoteza umaarufu wake katika miaka ya hivi karibuni....
09
Utafiti: Kula ngozi ya kuku ni hatari
Inaripotiwa kuwa ngozi ya kuku inakiwango kikubwa cha mafuta ambayo ni hatari kwa afya ya binaadamu. Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali duniani zinaeleza kuwa ngozi ya kuku ina m...
17
Ronaldinho: Sitaangalia mechi yeyote Brazil
Mwanasoka wa zamani Ronaldinho amedai kuwa hataishangilia wala kuangalia mechi yeyote ya Brazil kwenye fainali za Copa America kwa sababu amechoshwa na kipindi cha huzuni. Aki...
20
Mwanamke na uongozi chuoni
Na Michael AndersonWanawake chuoni wanahitajika kuaminisha jamii ya kwamba kila mwanamke ana uwezo mkubwa ndani yake, kila mwanamke ana hatima kubwa inayomsubiri, kila mwanamk...
29
Hersi: Usipokuwa na uelewa utasajili hovyo, Utatimua wachezaji kwa hisia
Rais wa Klabu ya #Yanga #HersiSaid amesema wakati wa usajili kama muhusika asipokuwa na uelewa kuhusu wachezaji anaweza kumsajili ...
02
Utunzaji wa ngozi kwa wanaume
Aisha Charles Hello guys! acha nikusalimu kwa jina la fashion. Leo tumeingia kwa undani zaidi katika masuala ya urembo, tumekusogezea jinsi ya kutunza ngozi kwa wanaume. Hivi ...
12
Mfahamu binadamu mwenye ngozi inayovutika zaidi
Gary Turner ambaye ni raia wa Uingereza anashikilia rekodi ya dunia ya Guinness kuwa binadamu mwenye ngozi inayovutika zaidi duniani. Turner mwenye umri wa miaka 56 aliweka re...
24
Lil Wayne afunguka Drake kuchukiwa na watu weusi
‘Rapa’ #LilWayne kufuatiwa na mahojiano yake aliyoyafanya na Podcast ya The Richard Sherman, ameweka wazi sababu zinazomfanya msanii mwenzake Drake kuchukiwa na wa...
15
Maajabu ya raia wa Bosnia, Adai ngozi yake ina sumaku
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni kutana na Muhibija Buljubasic raia wa Bosnia wakati akizungumza na tovuti ya Sarajovotimes, amesema kuwa ana nishati ndani ya mwili wak...
19
GSM atoa vifaa vya matibabu Ocean Road
Mdhamini wa ‘klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed (GSM) ametoa zawadi ya vifaa vya matibabu katika hospitali ya Ocean Road kama zawadi ya kusheherekea siku ya yake kumbuki...
15
Mo Dewji awaomba wanasimba kuwaamini viongozi
Rais wa ‘klabu’ ya Simba Mohammed Dewji amewataka mashabiki wa ‘klabu’ hiyo kuwa na imani na viongozi waliochaguliwa. Mo amewaomba Wanasimba kutulia, k...
12
Mamelod na Wydad kukamilisha AFL leo
Michuano  mipya ya African Football League (AFL) inafikia kilele chake leo Novemba 12, 2023 kwa mchezo wa mkondo wa pili wa ‘fainali’ utakaopigwa katika uwanj...
08
Mwakinyo kuingia ulingoni Zanzibar
Licha ya kufungiwa mwaka mmoja na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania Bara (TPBRC), bondia Hassan Mwakinyo ameibukia visiwani Zanzibar na anatarajiwa kuingia ulingoni Novem...

Latest Post