06
Utafiti: Mmoja kati ya wanne anaweza kuongezeka uzito msimu wa sikukuu
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Talker Research umebaini kuwa mtu mmoja kati ya watu wanne anaweza kuongezeka uzito wa hadi k...
12
Mwaka mmoja tangu Mohbad afariki dunia
Tarehe kama ya leo mashabiki wa aliyekuwa mwanamuziki nchini Nigeria Ilerioluwa Aloba, 'MohBad', waligubikwa na huzuni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha msanii huyu kilicho...
21
Bondia Ryan Garcia afungiwa mwaka mmoja
Bondia wa ngumi za kuliwa kutoka Marekani Ryan Garcia amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya ngumi baada ya kuthibitika kutumia dawa iliyopigwa marufuku kabla na baa...
13
Ruger: Naweza kupenda wanawake watano kwa wakati mmoja
Mwanamuziki wa Nigeria, Ruger amefunguka mtazamo wake kuhusu mahusiano  kwa kudai kuwa anaweza kupenda wanawake watano tofauti kwa wakati mmoja.  Ruger ameyasema hay...
25
Mtoto wa mwaka mmoja aweka rekodi ya dunia
Mtoto wa mwaka 1 na siku 152 kutoka Ghana aitwaye Ace-Liam Nana Sam Ankrah ameweka rekodi ya dunia ‘Guinness World Records’ kwa kuwa mchoraji mdogo zaidi duniani.K...
07
Rihanna aikacha Met Gala 2024
Wakati wadau mbalimbali wakisubiri kuona muonekano wa mwanamuziki Rihanna katika usiku wa tamasha la mitindo duniani ‘Met Gala’ lililofanyika katika ukumbi wa &lsq...
29
Don Jazzy amkataa Wizkid instagram
Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya ‘Mavin Records’ kutoka nchini Nigeria, DonJazzy amem-unfollow msanii #Wizkid katika mtandao wa #Instagram baada ya msanii huyo ku...
28
Harmonize: Nakaribia kujuta kusaidiwa na Diamond
Staa wa #BongoFleva #Harmonize ni kama ameonyesha kuchoshwa na kauli ambayo #DiamondPlatnumz anapenda kuisema mara kwa mara kuwa yeye ndiyo aliyemtoa katika muziki. Harmonize ...
09
Mwigizaji Majors, Akwepa kwenda jela
Mwigizaji kutoka nchini Marekani Jonathan Majors (34) amekwepa kwenda jela mwaka mmoja na kukubali kupatiwa ushauri nasaha kuhusiana na unyanyasaji wa nyumbani, hii ni baada y...
03
Kanye ashitakiwa kwa unyanyasaji
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya ‘Donda’ iliyopo Los Angeles...
02
Familia ya mtuhumiwa kifo cha AKA yatoa tamko
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu mahakama nchini Afrika Kusini kumtaja mfanyabiashara, Sydney Munda Gcaba kuwa ndiye aliyewalipa Sh 109 milioni watuhumiwa sita wa mauaji ya al...
28
Aliyepanga njama ya kumuua AKA ajulika
Mahakama nchini Afrika Kusini imemtaja mfanyabiashara, Sydney Munda Gcaba kuwa ndiye mtu aliyewalipa watuhumiwa sita wa mauaji ya aliyekuwa ‘rapa’ Kiernan Forbes, ...
24
Hotel yenye gharama, kulala usiku mmoja ni zaidi ya 744 milioni
Kama tunavyojua wapo baadhi ya watu pesa kwao sio kitu, sasa tumeamua kuwasogezea sehemu ambayo wataenda kuenjoy maisha, ambapo ni katika hoteli yenye gharama zaidi duniani il...
21
Wawili wadakwa kwa tuhuma za mauaji kwenye Super Bowl
Wanaume wawili kutoka Marekani wameshitakiwa kwa mauaji baada ya kufyatua risasi na kusababisha vurugu kwenye sherehe za ushindi wa ‘Super Bowl’ mwaka huu huko Kan...

Latest Post