13
Mr Beast Amwaga Pesa Kujenga Mji
Mtengeneza maudhui kutoka nchini Marekani Mr Beast ambaye alijulikana zaidi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuzikwa akiwa hai kwa siku saba, ameripotiwa kuwekeza mpunga m...
05
Akoni mbioni kupokonywa ardhi ya mji wake
Imeripotiwa kuwa ardhi ya mwanamuziki kutoka Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon muda wowote kuanzia sasa inaweza kuchukuliwa na Serikali ya Senegal, endapo hatokamilisha m...
18
Ngoma iliyomleta mjini marehemu Costa Titch yazidi kukimbiza Youtube
Wimbo wa marehemu mwanamuziki kutoka Afrika Kusini Costa Titch wa ‘Big Flexa’ umeendelea kukimbiza kupitia mtandao wa ...
12
Musk aipinga Apple kutumia akili bandia
Mmiliki wa mtandao wa X zamani (Twitter) #ElonMusk amepinga kampuni ya Apple kutumia mfumo wa akili bandia (AI) kwenye iPhone na vifaa vyingine. Musk ameweka wazi kuwa hakubal...
11
Albamu ya Zuchu mbioni kutoka
Baada ya mzalishaji muziki nchini Trone, kuthibitisha ujio wa albamu ya mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuchu, sasa msanii huyo amesema imekamilika kwa asilimia 100.Zuchu ametoa ta...
01
Lamar amjibu Drake
Baada ya ukimya wa wiki kadhaa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar amerudi tena mjini akiwa na ngoma mpya ambayo ameitoa kwa ajili ya kumjibu Drake. Ngoma...
30
Davido, Wizkid kama Diamond na Konde hapatoshi
Wanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na Wizkid wapo katika bifu zito, baada ya shabiki wa Wizkid katika mtandao wa X (zamani Twitter) kumuomba msanii huyo atoe ngom...
12
Quavo amjibu Chris Brown
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, Chris Brown kuachia listi ya ngoma alizoziongeza kwenye albumu yake ya '11:11’ huku ngoma yake ya ‘#Freaky’ iki...
04
Pekosi habari ya mjini kwa sasa
Pelagia Daniel Pekosi ni aina ya suruali yenye muonekano unaoshika mwili kuanzia usawa wa kiuno hadi kwenye magoti wa juu lakini upande wa miguuni huachia kwa upana tofauti na...
18
Muuza vitafunwa mwenye muonekano wa kipekee
Wanasema jinsi utavyopenda na kuitunza kazi yako ndivyo watu wengine wataiheshimu. Mfahamu Jideobi Chiamaka Favour mwanadada kutoka nchini Nigeria ambaye amewashangaza wengi k...
11
Chris Brown amtolea povu shabiki
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #ChrisBrown amjia juu shabiki aliyesema kuwa hataki mwanaume aliyezaa na mwanamke zaidi ya mmoja. Hii inakuja baada ya Brown ku-share picha...
27
Sonja adai kuwa kwenye mahusiano na mti
Mwanamke mmoja kutoka nchini Canada aitwaye Sonja mwenye umri wa miaka 45 amesema kuwa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mti huo pichani na huwa anapata hisia za kimapenzi...
24
Aswekwa rumande akijaribu kumuua mbwa
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Anthony Bellman  mwenye umri wa miaka 55 kutoka nchini Marekani ameswekwa rumande kwa kujaribu kumuua mbwa Inaelezwa kuwa polisi walimf...
21
Kanye ajipanga kujenga mji wake
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani #KanyeWest anatarajia kujenga mji wake Mashariki ya Kati katika eneo lenye ukubwa wa ekari 100,000, ambapo utakuwa mji mkubwa zaidi ...

Latest Post