05
Harakati za MJ mfalme wa pop anayetamba hadi leo
Ikiwa leo ni Septemba 5 2024, Alhamisi ya 36 tangu kuanza kwa mwaka huku zikiwa zimebaki siku 117 kuumaliza mwaka.Upande wa TBT tunamuangazia mwanamuziki Michael Jackson, maar...
22
Snoop Dogg: Kendrick Lamar wewe ni Mfalme
Mwanamuziki wa Marekani Snoop Dogg amempa ‘rapa’ Kendrick Lamar maua yake kwa kumtaja msanii huyo kuwa ni mfalme wa Magharibi.Kupitia video aliyopost Dogg kwenye i...
06
Rayvanny ndani ya studio ya MJ
Baada ya kuhudhuria na kushuhudia ugawajwi wa Tuzo za Grammy 66, zilizofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili, mwanamuziki Rayvanny ameendeleza ziara yake nchini humo na sas...
26
Saudia yaruhusiwa matumizi ya pombe
Wanadiplomasia kutoka nchini Saudi Arabia wamevunja marufuku ya uuzwaji wa pombe nchini humo baada ya kufungua duka la kwanza la vinywaji hivyo, maalumu kwa Wanadiplomasia was...
18
Michael Jackson miaka 60 iliyopita
Tazama mbwembwe za michael Jackson akitumbuiza wimbo uitwao 'I Want You Back'. Video hii alikuwa na umri wa miaka mitano. Michael Jackson alizaliwa August 29, 1958 na kufariki...
06
Fahamu jina bluetooth limetokana na mfalme mwenye jino bovu
Inafahamika kuwa katika ulimwengu wa sasa mawasiliano yamekuwa kitu kirahisi sana, yaani ni rahisi kumtumia mtu picha,ujumbe, wimbo, video, document na vitu vingine kwa njia r...
06
Lunya kwa MwanaFA ni mfalme
Mwanamuziki na mwanasiasa nchini, Hamisi Mwinjuma #MwanaFA, amemtambulisha rapper #YoungLunya kama ‘Mfalme’ wa Hip-hop kupitia ukurasa wake wa X/Twitter. MwanaFA a...
03
Meya Mexico afunga ndoa na Mamba
Meya wa mji mdogo wa Mexico aliefahamika kwa jina la Victor Hugo Sosa, amefunga ndoa na mamba katika tambiko la miaka mingi la mavuno ambapo mchumba wake huyo alitambulika kwa...
02
Waliopinga utawala wa Mfalme Mswati wahukumiwa jela miaka 20
Mahakama kutoka nchini Eswatini imewakuta wabunge wawili na hatia ya mauaji na ugaidi kwa jukumu lao katika wimbi la maandamano yaliyoikumba nchi hiyo mwaka 2021. Mduduzi Bace...
22
TCRA yaonya vyombo vya habari kurusha maudhui kuhusu dini
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonya vikali vyombo vya utangazaji nchini humo zikiwemo Radio na Televisheni kuacha kurusha maudhui ya kufikirika hasa yanayogusa iman...
21
Mwanamuziki akabiliwa na kesi ya ubakaji
Mwanamuziki maarufu nchini Morocco Saad Lamjarred, anatuhumiwa na kesi ya ubakaji na unyanyasaji, ambayo imeanza kusikilizwa katika mji mkuu wa Ufaransa. Saad anayeimba muziki...
10
Kijana akamatwa baada ya kumrushia yai Mfalme Charles III
Mwanamume mmoja amekamatwa baada ya mayai kurushwa kwa Mfalme na Malkia Consort wakati wa ziara ya York, Uingereza. Kijana huyo mwenye miaka 23, alisikika akipiga kelele "nchi...
28
Rais Xi Jinping atarajiwa kufanya ziara Saudi Arabia
Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia Mwanamfalme Faisal bin Farhan amekiambia kituo cha televisheni cha Al-Arabia kuwa rais wa China Xi Jinping anatarajiwa kufanya ziara kat...

Latest Post