10
Meja Kunta afichua kilichomsukuma afanye ngoma na Chidi Benz
Mwanamuziki wa Singeli, Meja Kunta, ameweka wazi mipango yake ya kufanya kazi na rapa mkongwe Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz. Akizungumza katika mahojiano maalumu n...
20
Sura ya Rihanna kutumika kwenye manukato ya ‘Dior’
Mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, #Rihanna amepata shavu katika kampuni ya ‘Christian Dior’ inayojihusisha na masuala ya utengeneza nguo na urembo kwa kuteng...
29
Hersi: Usipokuwa na uelewa utasajili hovyo, Utatimua wachezaji kwa hisia
Rais wa Klabu ya #Yanga #HersiSaid amesema wakati wa usajili kama muhusika asipokuwa na uelewa kuhusu wachezaji anaweza kumsajili ...
25
Jobe agombaniwa Ulaya
Kiungo wa ‘klabu’ ya #Sunderland, Jobe Samuel Bellingham agombaniwa na ‘vilabu’ kadhaa barani Ulaya ikiwemo #Chelsea na #TottenhamHotspur kwa ajili ya ...
30
Trump hana baya kwa Snoop Dogg
‘Rapa’ #SnoopDogg ameweka wazi kuwa hana baya na aliyekuwa Rais wa Marekani #DonaldTrump licha ya watu kuzusha kuhusiana na wawili hao kutokuwa sawa ambapo alidai ...
27
Hawa ndiyo wasanii walionyakua tuzo nyingi mwaka 2023
Ikiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2023, wapo baadhi ya wasanii ambao wanatamani mwaka huu uishe ili wajaribu tena mwakani lakini wapo waliobahatika kuandika historia  kwen...
05
Wakali wa kutupia ligi kuu bara
Baadhi ya mastaa wa soka wanapenda maisha ya bata nje ya uwanja, kununua ndinga kali, nyumba, na mambo mengine pia wapo wanaopenda kuvaa na kupendeza. Hawa hapa mastaa kumi wa...
25
Zijue nguo ambazo mwanamke mwenye matiti makubwa hatakiwi kuvaa
Hellow!! Once again on Fashion tumekutana tena hapa katika jarida lako pendwa la Mwananchi Scoop ilikupeana updates mbalimbali katika Fashion, nikusihii tu twendelee na weeken...
25
Arteta amkingia kifua Raya
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #Arsenal, Mikel Arteta amtetea ‘goli kipa’ wa ‘timu’ hiyo David Raya baada ya mchambuzi wa ‘timu&rs...
19
Muda wa T.I kuacha muziki umefika
Mwanamziki na muigizaji kutoka nchini Marekani T.I ambaye amekuwa kwenye mziki wa hip-hop kwa zaidi ya miaka 25, amefunguka kustaafu kuimba na kuangalia miradi yake mingine. K...
09
Mfahamu binti mwenye aleji na maji, Akioga hutokwa damu
Inafahamika kuwa maji muhimu katika maisha ya kiumbe hai, kwa mimea yanahitajika kwa kiasi kikubwa, wanyama na hata binadamu pia kwani hutumia kama kinywaji na katika matumizi...
05
Bwax: Mimi ndiye msanii mkubwa wa singeli Tanzania
Msanii wa muziki wa singeli nchini Mzee wa Bwax amedai kuwa yeye ndiye msanii mkubwa wa singeli Tanzania amesema hayo baada ya kuitwa katika tamasha la Wasafi Festival. Mzee w...
03
Fei toto: Kisa yanga mpenzi wangu aliniacha
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga Fei Toto amefunguka makubwa na kueleza kuwa sakata lake na ‘klabu’ ya Yanga la kuvunja mkataba lilimfanya akaachana na mpenzi wake aliy...
19
Jinsi ya kuwajibika kazini
I hope mko good wafuatiliaji wa segment ya kazi, sasa leo niko na kitu serious kidogo, kama tunavyojua kila mtu anatafuta kazi ili afanye hiyo kazi na aweze kupata anachokista...

Latest Post