17
Namungo, Fountain Gate wapigwa kalenda Ligi Kuu
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuahirisha mchezo wa ligi baina ya Namungo FC na Fountain Gate FC uliokuwa uchezwe leo katika Uwanja wa Majaliwa Lindi.Taarifa iliy...
13
‘VAR’ kutumika ligi kuu bara msimu ujao
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, viwanja vitakavyotumika kwa michuano hiyo vitafungwa teknolojia inayomsaidia mwamuzi kufanya m...
28
CR7 aweka rekodi mpya ligi Saudia
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Nassr kutoka Saudi Arabia Cristiano Ronaldo ameendeleza ubabe katika ligi kuu nchini humo baada ya kuweka rekodi mpya katika ‘mechi...
07
Ten Hag hajapoteza matumaini na Man United
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema bado anataka kuendelea kupambana kuhakikisha anakuwa kocha wa timu hiyo msimu ujao pamoja na kupata matokeo mabaya. United ili...
26
Klopp atangaza kuondoka Liverpool
Huenda leo isiwe siku nzuri kwa mashabiki wa Liverpool baada ya ‘kocha’ wao Jurgen Klopp kutangaza kung'atuka ‘klabuni’ hapo baada ya msimu huu kumaliz...
31
Panya avamia uwanja wa Man City
Kwenye mchezo kati ya ‘klabu’ ya #ManchesterCity na ‘klabu’ ya #Sheffield jana Jumamosi, panya mmoja aliingia uwanjani (eneo la kuchezea) na kusimamish...
15
TPLB yatupilia mbali rufaa ya mchezaji aliyempiga mwenziye kiwiko
Kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imetupilia mbali rufaa ya ‘klabu’ ya #Yanga ya kutaka marejeo (review) ya adhabu ya mchezaji wao...
12
Ligi yasimamishwa baada ya muamuzi kushambuliwa
‘Ligi’ ya nchini Uturuki yasimamishwa baada ya muamuzi, Halil Umut kushambuliwa ndani ya uwanja katika ‘mechi’ iliyochezwa usiku wa Jumatatu dhidi ya #...
10
Mo Salah kwa Afrika amefikisha mabao 150
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #LiverPool, #MoSalah amekuwa mchezaji wa kwanza wa Kiafrika kufikisha mabao 150 katika Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kufunga ‘goli&rs...
05
Wakali wa kutupia ligi kuu bara
Baadhi ya mastaa wa soka wanapenda maisha ya bata nje ya uwanja, kununua ndinga kali, nyumba, na mambo mengine pia wapo wanaopenda kuvaa na kupendeza. Hawa hapa mastaa kumi wa...
13
Ange ‘kocha’ bora wa mwezi
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya Tottenham, Ange Postecoglou ameibuka tena kidedea baada ya kuchaguliwa kuwa ‘kocha’ bora wa mwezi Septemba ‘Lig...
05
Mashabiki wamjia juu ‘Kocha’ kwa kumcheza Saka akiwa majeruhi
Inadaiwa kuwa mashabiki wa ‘klabu’ ya Arsenal wamemjia juu ‘kocha’ wa ‘timu’ hiyo Mikel Arteta...
03
Neymar ashangazwa na hali ya uwanja wa Azadi
Mchezaji wa zamani wa PSG ambaye kwa sasa anakipiga katika ‘timu’ ya Al-Hilal ameshangazwa na baada ya kuona hali ya uwanja wa Azadi kutoka nchini Iran, wakati &ls...
03
FIFA yaipiga kufuri Tabora United
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) waifungia kusajili wachezaji ‘klabu’ ambayo ipo katika ‘Ligi’ kuu ya NBC Tabora United, ambayo zamani ...

Latest Post