Unaweza kusema mwigizaji Joice Mbaga ‘Nicole Berry’ alikuwa na kiu ya kutumia mitandao ya kijamii. Hii ni baada ya kutupia zaidi ya machapisho 10 kwenye ukurasa wa...
Maisha yanachangamoto zake, na siyo kila tajiri au mtu maarufu alizaliwa katika mazingira hayo. Wengi wao walianza kujitafuta chini lakini sasa wameuteka ulimwengu kwa majina ...
Mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Dude ametoa neno baada ya mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga na Simba iliyokuwa imepangwa kuchezwa leo Jumamosi Machi 8, 2025 kwenye Uwanj...
Na Michael ANDERSON
Wasomi mambo vipi pande za vyuoni? tunakaribia kuanza paper la UE nafahamu tunazima moto kwa energy ya kutosha kuhakikisha SUP haitupati.
Wiki hii nakulet...
Rapa Jay Z na familia yake wanaripotiwa kupokea vitisho vya kuuawa kutokana na kesi ya ubakaji kwa binti wa miaka 13 anayodaiwa kufanya akiwa na Diddy mwaka 2000.Jay anadai am...
Mjukuu wa Mfalme kutoka Dubai, Sheikh Hamdan Bin Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, aliwahi kuwavutia watu wengi huku akipokea pongeze kede kede baada ya kuacha kutumia gari yake...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘Chuo Kikuu cha Baylor’ umeeleza kuwa ulaji wa tambi mara kwa mara haswa mara mbili hadi tatu kwa wiki, umehusishwa na hatari ...
Nyota anayetamba na ngoma ya ‘Not Like Us’ Kendrick Lamar ambaye atatumbuiza katika onyesho la Halftime la Super Bowl ameripotiwa kuwa hatofanya show hiyo mwenyewe...
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kutoka tovuti ya ‘European Heart Journal’ unaonesha kuwa kufurahia kikombe cha kahawa asubuhi kunaweza kupunguza hatari ya mago...
Mwaka 2024 umekuwa mgumu kwa kampuni ya Sony Pictures, hasa katika mauzo ya filamu zake tatu ikiwa ni pamoja na Kraven the Hunter, Venom: The Last Dance, na Madame Web, baada ...
Na Masoud KofiiChuo Kikuu cha Yale kilichopo Marekani kimeanzisha mafunzo ya siasa na utamaduni huku kikitumia album za Beyonce kufundishia.Albamu hizo ni kama vile Into Lemon...
Baada ya zaidi ya video 300 za ngono kusambaa katika mitandao ya kijamii za Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) kutoka Guinea ya Ikweta Baltasar...