Nyota wa R&B kutoka Marekani Chris Brown, ameachiwa kwa dhamana na mahakama Jijini London leo Jumatano Mei 21, 2025, baada ya kukaa rumande kwa takribani siku sita.Chris a...
Baada ya kuwapo kwa tetesi kuhusu msanii Lavalava kuondoka katika lebo ya WCB, Diamond Platnumz ameweka wazi akisema msanii huyo yupo huru kuondoka.Diamond ambaye anamiliki Le...
"Nimefanya mambo mengi ya kijinga maishani mwangu, lakini kumuoa Hailey ndio jambo la akili zaidi nimewahi kufanya". Hii ni kauli ya mwanamuziki Justin Bieber akiliambia jarid...
Maafisa usalama wa serikali kuu nchini Marekani wametoa ushahidi mahakamani kwamba walikuta dawa za kulevya, mafuta ya watoto, vilainishi na kiasi kikubwa cha pesa taslimu zil...
Kwa miaka ya hivi karibuni muziki wa Singeli umechukua nafasi kwenye tasnia ya burudani nchini, ambapo wasanii wa Bongo Fleva wameonesha kukubali kuwa kwa sasa muziki huo ni a...
Meneja wa mwanamuziki Mavokali, Jembe One ameweka wazi hali ya kiafya ya msanii wake kwa kusema alipatwa na tatizo la afya ya akili ingawa kwa sasa anaendelea vizuri.Jembe ame...
Mwanamuziki wa Singeli nchini Msaga Sumu ameruhusiwa kutoka Taasisi ya Tiba na Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), baada ya kupata ajali ya gari wakati akir...
Meneja na msemaji wa wasanii wa Lebo ya WCB, Mohamed Salum ‘Ricardo Momo’ amezungumzia sakata la mwanamuziki wa singeli Meja Kunta kudai kuvujishiwa wimbo D Voice ...
Bodi ya Filamu Tanzania imemuita msanii wa maigizo Wema Sepetu kwa ajili ya mahojiano kuhusu picha jongefu zilizorushwa kwenye mtandao wa kijamii zikionyesha ...
Tunaweza kusema Tundaman ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongofleva walioweza kubadilika kadri muziki unavyokua kitu kilichomfanya kuwepo masikioni mwa mashabiki kwa ...
Rapcha amezaliwa Septemba 1999. Kwa hiyo kwa kulazimisha unaweza ukasema Rapcha ni mtoto wa ‘efu mbili’. Na wote tunajua kwa kawaida stori za madogo wa elfu ...
Hali ya mwanamuziki wa Singeli Msaga Sumu imeendelea kuimarika ikiwa leo ni siku ya tatu tangu apate ajali na kufikishwa Taasisi ya Tiba na Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishi...
Rhobi Chacha Taasisi ya Aisha Masaka Foundation, iliyoanzishwa na mchezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania na klabu ya Brighton & Hove Albion F.C. ya Uingereza, A...
Meneja wa mwanamuziki wa Singeli, Msaga Sumu, Khalid Ali au Dj Msolopa, amethibitisha msanii huyo kupata ajali huku chanzo chake akidai ni bodaboda.Akizungumza na Mwananchi, m...