Kampuni inayoongoza kwa usambazaji wa biashara ya muziki duniani 'Universal Music Group' imetangaza kuahirisha baadhi ya matukio yaliyopangwa kufanyika usiku wa tuzo za Grammy...
Mwigizaji Tyler Perry amezikosoa kampuni za bima kwa kutotumia njia bora za kusaidia jamii zilizoathiriwa na moto mkali unaoendelea jijini Los Angeles.Kupitia ukurasa wa Insta...