26
Jina la kanumba bado linaishi
Wakati akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kuzunguka mataifa mbalimbali mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny akiwa South Africa amekutana na shabiki wa marehemu mwigizaji...
30
Chino alia na wasanii wanaomfungia vioo
Kwa kawaida ‘dansa’ na mwanamuziki wa #Bongofleva Chino Wanaman sio muongeaji lakini kwa hili ameamua kulia na wasanii ambao hawam-sapoti licha ya kipindi cha nyum...
18
Diamond awapiga wambea na kitu kizito
Baada ya ku-share taarifa kupitia Instastory yake kuhusu kuwa single mwanamuziki Diamond, ametengua kauli hiyo kwa kueleza kuwa hayupo single bado anaendelea kula raha hubani....
15
Diamond arudia nguo, Alivaa miaka minne iliyopita
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka nchini #DiamondPlatnumz ameweka wazi kuwa koti alilolivaa katika wimbo wake ‘Tetema’ ndilo hilo hilo alilolivaa kwenye wimbo wa K...
09
Diamond aitabiria Tanzania
Baada ya kuipeperusha Bendera ya Tanzania katika Tuzo ya #MTVEMA 2023 msanii Diamond ameendelea kuitabiria makubwa Tanzania kwa kudai kuwa soon bendera hiyo itakuwa katika Tuz...
06
Lukamba adai kuibiwa milioni 200
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Lukamba ameeleza sababu ya kukaa kimya bila kutoa wimbo amesema kuwa ametapeliwa tsh 200 milioni. Lukamba kupitia #Instastory yake ameandika ujumb...
18
Harmonize awatolea povu wanaodai anaendeshwa na mapenzi
Msanii wa Bongo Fleva Harmonize amewatolea uvivu wanaodai kuwa anamawazo ya mapenzi, amesema katika ma-ex wake hakuna wa kumfanya alewe. Konde amefunguka hayo kupitia Instasto...
18
Sam Asghari athibitisha kuvunjika kwa ndoa yake
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na ndoa ya muigizani na mwanamitindo Sam Asghari kuvunjika, hatimaye Sam amethibitisha na kuweka wazi kuvunjika kwa ndoa hiyo.Kupitia #InstaSt...

Latest Post