08
Hailey ayavaa majukumu ya Justin Bieber
Mke wa mwanamuziki kutokea Marekani Justin Bieber, Hailey Bieber ameamua kuanza kuyavaa majukumu baada ya mumewe kushuka kiuchumi na kupata changamoto za kiafya.Taarifa hiyo i...
24
Justin Bieber sasa ni baba
Baada ya kutangaza kutarajia kupata mtoto miezi michache iliyopita, hatimaye mwanamuziki Justin Bieber na mke wake Hailey wamepata mtoto wao wa kwanza aitwaye Jack Blues Biebe...
10
Bieber na mkewe watarajia kupata mtoto
Mwanamuziki maarufu kutoka Canada Justin Bieber na mkewe Hailey wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka saba.Wawili hao wameweka wazi s...
17
Bieber abuni mbinu kupunguza uzito kwenye pochi za wanawake
Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Hailey Bieber yuko mbioni kuzindua kava za simu ambazo zitaweza kuwasaidia wanawake wanaopenda kupaka lipstick, kuhifadhi kipodozi hicho ny...
25
Mke wa Justin Beiber hataki kuambiwa mjamzito, Analea mbwa wake kwanza
Mke wa Justin Beiber, Hailey Bieber ambaye ni mwanamitindo achoshwa na maneno ya watu wanaomtuhumu kuwa ni mjamzito na wanaojadili...
16
Penzi la Justin Bieber na Hailey bado lina nguvu
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Justin Bieber amethibitisha kuwa mapenzi yake na Hailey hayajafa, huku akiamua kujitoa kumsaidia mpenzi wake katika kazi zake za sanaa. Kwa ...

Latest Post