Msanii wa filamu na mfanyabiashara Tausi Mdegela anasema kutokana na kimo chake kifupi, kuna baadhi ya watu katika jamii na mitandao wanaona hastahili kufanya baadhi ya vitu.H...
2024 tunaweza kusema umekuwa mwaka wa uzinduzi na mafanikio katika kiwanda cha filamu duniani hii ni kutokana na filamu nyingi maarufu kuachiwa kama ile ya Deadpool & Wolv...
Wataalamu wa utafiti, mkakati na data ‘Statista’ wametoa orodha ya nchi zinazozalisha filamu huku nchi ya Tanzania ikishika namba nne kati ya nchi 10 barani Afrika...
Na Asma HamisLicha ya kukimbiza kwenye muziki wasanii kutoka Marekani Ariana Grande na Beyoncé Sasa wanatajwa kuonesha uwezo wao kwenye filamu za muziki.Kwa mujibu wa t...
Waswahili wanasema vya kale ni dhahabu, watozi na wanagenzi wakafika mbali zaidi na kusema wakongwe hawafi 'legends never die'.
Hii imethibitika baada ya mwigizaji mkongwe Sha...
Baada ya mwigizaji Salim Ahmedy ‘Gabo Zigamba’ kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Comoro, amefunguka kuwa ni muda wa watengenezaji filamu kujitoa ili kazi zao z...
Mwendelezo wa filamu maarufu ya ‘28 Days Later’ inayotarajiwa kutoka mwaka 2025 imeripotiwa kurekodiwa kwa kutumia simu ya Iphone 15 jambo ambalo limefanya mashabi...
Mwonekano mpya wa mwigizaji na nyota wa WWE, Dave Bautista umewapa wasiwasi mashabiki, baada ya picha yake kusambaa mitandaoni ikumuonesha amepungua (amekuwa mwembamba) kuliko...
Mwigizaji wa Marekani, James Earl Jones ambaye alipata umaarufu kupitia filamu kama ‘Coming to America’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93.Taarifa ya kifo c...
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema tangu mwanaye afariki dunia hajawahi kuangalia filamu yake hata moja kwasababu zinamuumiza licha ya kuwa anazikubali kazi...
Mwigizaji wa Marekani James Darren, aliyetambulika zaidi kupitia filamu ya ‘Gidget’ afariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.Taarifa ya kifo chake imetolewa na mtot...
Licha ya kuwa nchini wameendelea kuibuka waigizaji wengi chipukizi, lakini baadhi ya waandaaji wa filamu wanaonekana kurudia wasanii katika kazi zao, jambo ambalo limekuwa lik...