Hatimaye mwigizaji Aaron Pierre amefunguka kuhusu video yake ya 'That Mufasa' inayosambaa kwenye mtandao ya kijamii na vutia wengi. Video ambayo ilipatikana kwenye kipindi cha...
Mwigizaji anayewakosha kinadada wengi kwenye mitandao ya kijamii Aaron Pierre ‘Mufasa’ amesema mwanamuziki na mwigizaji Ashanti ndiye mwanamke aliyekuwa akimvutia ...