Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga akituhumiwa kum-shamb...
Ikiwa ni miaka minne tangu kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva kumpokea msanii Platform na kumthibisha kama moja ya bidhaa bora kwenye soko la muziki.Msanii huyo ameiamba Mwanan...
Inafahamika kuwa kiwanda cha muziki wa Hip-hop Bongo kina wasanii wachache. Lakini ni gumu kuwataja waliopo na kuliacha jina Frida Amani, ambaye ni miongoni ...
Moja ya tukio ambalo limepokea maoni mengi kutoka kwa mashabiki na mastaa katika shamra shamra za ugawaji wa tuzo za Trace ni kuhusiana na mwanamuziki Diamond kusafirisha gari...
Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii mapema leo Februari 26, 2025 nikakutana na video inayomuonesha mwanamuziki Alikiba akisalimiana na Harmonize kwa kukumbatiana ...
Unaweza kusema ni bahati ya kipekee iliyoishukia Tanzania kwa mara nyingine tena. Achana na mashindano ya AFCON 2027 ambayo pia yatafanyika Tanzania. Kwa sasa ni tukio la buru...
Marehemu mfalme wa muziki wa Pop kutoka Marekani, Michael Jackson ‘MJ’ mara zote alipokuwa akipanda jukwaani alionekana wa kuvutia kuanzia mavazi, na hata miondoko...
Baada ya msanii wa singeli nchini Dulla Makabila kupata nafasi ya kuongoza kwa kufanya vizuri kwenye muziki huo. Sasa ametangaza nia yake ya kufungua label ya muziki wa singel...
Kwenye ulimwengu wa mapenzi, inaonekana nyota wengi wa mpira wa miguu wanavutiwa zaidi na wanamitindo. Na hii siyo tu kwa Aziz Ki ambaye Februari 16, 2025 alifunga ndoa na mwa...
Baada ya kuripotiwa kwa taarifa za kifo cha mwigizaji maarufu Kim Sae-ron (24) aliyefariki dunia nyumbani kwake jijini Seoul, hatimaye sababu kifo chake imetambulika.Kwa mujib...
Mwigizaji maarufu ambaye amefanya vizuri kupitia filamu ya Spider Man, Tom Holland amefunguka sababu ya kutoongozana na mpenzi wake Zendaya kwenye red carpets wakati wa uzindu...
Mkali wa Afrobeat, Burna Boy ametoa maelezo sababu ya kushuka jukwaani baada ya shabiki kumvamia kwa kudai kuwa muda wake ulikuwa tayari umekwisha.Utakumbuka kuwa msanii huyo ...
Joseph Silumbe ambaye ni mtoto wa marehemu msanii mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu 'King Kikii' amesema baba yake amefariki kwa maradhi ya sarat...
Masoud Kofii Mchekeshaji maarufu nchini Masatu Ndaro 'Mjeshi Kikofia' ametangaza kuja na wimbo wake mpya utakao fahamika kama "Nimpe nini" aliowashirikisha G boy na Kontawa. N...