07
Rais wa CAF amlilia mchezaji wa Misri
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha mchezaji wa klabu ya Modern Future ya Misri, Ahmed Refaat. Kupi...
28
Shabiki amkimbiza Refa uwanjani
Muamuzi wa mchezo kati ya ‘klabu’ ya  #PortVale dhidi ya ‘klabu’ ya  #Portsmouth alijikuta akishindwa kuendelea kuchezesha mpira baada ya sha...
10
Refa matatani kwa kumchoma kisu mchezaji
Muamuzi wa mpira wa miguu anayefahamika kwa jina la #RemigioArmoa atuhumiwa kumchoma kisu mchezaji wa ‘timu’ ya #Chacarita, #Kevin, baada ya kuzuka vurugu kati ya ...
29
Refa wa Mauritania kuzihukumu Al ahly na Yanga
Abdel Aziz Mohamed Bouh kutoka Mauritania, ndiye refa aliyepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
28
Cr7 akataa ‘penati’ ya mchongo
Mchezaji wa 'klabu’ ya Al Nassr, #CristianoRonaldo amekataa ‘penati’ aliyokuwa amepewa na refa kwenye mchezo wa ‘klabu’ bingwa bara la #Asia siku...
12
Manara: Tunataka ‘marefa’ watenda haki
"Kesho ni ‘mechi’ ya hisia kubwa ni mechi yenye kuchukua akili za watanzania, sio ‘mechi’ ya matokeo tu bali ni ‘mechi’ inayosakwa heshma z...
03
MUKANSANGA: Refa wa kike aliyefungua milango nchini Qatar
Eiwaaaah, karibu sana mdau na mfuatiliaji wa magazine ya Mwananchi Scoop kama kawaida kwenye anga za michezo na burudani wiki hii tumekuandalia jambo kubwa litakalo kusisimua ...

Latest Post