21
Je, Hip Hop Bongo imekwama
Peter Akaro Baada ya rapa aliyetamba na kundi la Nako 2 Nako Soldiers na sasa Weusi, Lord Eyes kudai muziki wa Hip Hop Bongo kuna sehemu umekwama, wasanii wenzie wamejibu kaul...
18
Young Killer, Nandy Watumia Mkono Mmoja Kuandika
Alianza kufanya vizuri kwenye muziki akiwa bado ni kijana mdogo, uwezo wake wa kuandika mistari kwenzi na kuichana vilivyo ulimpatia umaarufu kwa wasanii wengine hasa wa Hip H...
15
Professor Jay Atoa Ushuhuda Maumivu Ya Ugonjwa Wa Figo
Mwanzilishi wa Taasisi ya Professor Jay (Professor Jay Foundatison), Joseph Haule akitoa ushuhuda wake kuhusu ugonjwa wa figo uliomsumbua kwa muda mrefu.Ushuhuda huo aliutoa b...
30
Wasanii wenye albamu nyingi Bongo
Kati ya vitu vinavyohesabika kama mafanikio kwa mwanamuziki ni utoaji wa albamu. Kwani huonesha ukomavu wake kwenye gemu. Kawaida albamu, EP na mixtape zinatofautishwa kwa ida...
21
Mawazo mseto Professor Jay kurudi kwenye siasa
Baada ya mwanasiasa na mwanamuziki wa hip-hop nchini, Joseph Haule maarufu ‘Professor Jay’ kurudi kwenye siasa kwa mara nyingine baada ya ukimya wa muda mrefu ulio...
09
Wabunge kumchangia Professor Jay
Wabunge waonesha nia ya kutaka kumsaidia aliyewahi kuwa Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni mwanamuziki wa Hip Hop, Josep...
06
Professor Jay: Siyo mchezo kutoka ICU mzima
Mwanamuziki mkongwe wa #BongoFleva, #ProfessorJay amedai kuwa kipindi alipokuwa mahututi ICU alishuhudia vifo vya wagonjwa wengi sana. Akizungumza na chombo cha habari leo asu...
01
Mke wa Professor Jay: Uvumi wa kifo cha mume wangu uliniumiza
Mke wa mwanamuziki mkongwe wa Hip-hop #ProfessorJay, #GraceMgonjo amedai kuwa taarifa ambazo zilikuwa zinamuumiza kipindi cha nyuma ni kuhusu mumewa kuzushiwa kifo wakati akiw...
09
Professor Jay amshukuru Kikwete kwa msaada
Msanii mkongwe nchini Professor Jay amtembelea Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete nyumbani kwake kwa dhumuni la kumshukuru kwa kumsaidia katika kipindi chake cha matibabu...
31
Dua, sala zamimimka kumuombea Professor Jay
    Moja ya kitu kikubwa kinachofanywa na mastaa mbalimbali hapa nchini ni kumuombea dua na sala za kumtakia afya njema mkongwe wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule almaar...

Latest Post