Mkali wa muziki wa amapiano, Issaya Mtambo 'Chino Kidd' ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wa Binadamu amesema licha ya changamoto ya ushindani kwenye sanaa amejipata anawez...
Ukiangalia kwa jicho la kawaida na kufikiria kwa haraka unaweza kudhani ni miyeyusho ya mashabiki kutaka kupita na upepo wa mastaa kwa kuwabambikizia kesi za unyanyasaji...
Mitandao mitandao mitandao, nimeiiita mara tatu, watu wengi siku hizi wanatumia mitandao kama sehemu ya ku-post maudhui yasiyofaa na kufanya kuwa kilinge cha umbea na kufuatil...
Ooooooh! Kama tunavyojua bwana mwezi huu ni mwezi wa kufanya diet bwana, nimechunguza nikagundua kuwa watu wengi hupendelea kula matunda ili wasichoke sana wakati wa mfu...
Wanangu niaje? Karibu tena katika kona yetu ya michongo. Kama tunavyofahamu mtaani ajira ngumu na maisha yanaenda sawa na kasi ya jua linavyowaka yaani mtiti hakuna kivuli ais...
Wote tunafahamu kuwa chakula ni dawa. Chakula unachokula leo ndicho kinachoamua hali yako ya kiafya kesho. Unaweza kuishi bila kuugua kama ukila vyakula vyote muhimu vinavyohi...