Innocent Ndayanse
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani lililivalia njuga suala la mauaji ya Waarabu watatu, Nassor Khalfan na wenzake. Jambo la kwanza baada ya kupata taarifa ya tuki...
N a Innocent Ndayanse
MWEZI MMOJA BAADAYE
DHAMIRA ya Panja alikuwa palepale; kumsaka Kipanga kwa udi na uvumba, kazi aliyoamini kuwa lazima ingefanikiwa. Ndiyo, a...
Innocent NdayanseHILDA alibaki kinywa wazi baada ya kuisikia simulizi hiyo ya kutisha. Akamtazama Panja kwa makini na kuigundua hasira iliyojikita moyoni mwake na kutoa taswir...
Na Innocent Ndayanse
Sehemu ya 04
Panja akakohoa kidogo kisha akamuuliza, “Hushangai kuona mara nipo, mara sipo?”
“Hata nikishangaa itanisaidia nini? Najua k...
Sehemu o3
Daladala la Mwananyamala lilipofika Hilda alipanda, Panja naye hakubaki nyuma, akajitoma garini. Bado alikuwa ni mwanamume wa ‘kutesa.’ Alipoingia ndani ...
Na Innocent Ndayanse
SIKU Panja alipotoka gerezani, fikra zake zote zilikuwa juu ya Kipanga. Hakuchukua zaidi ya nusu saa nyumbani, Kinondoni ‘A’ jirani na Kanisa ...
Na Innocent Ndayanse(Zagallo)
NI usiku wa manane. Saa saba! Kwa wapenzi hawa wawili, bado ilikuwa mapema sana. Walikuwa hawajaambulia hata lepe la usingizi. Na zaidi, n...