28
Davido matatani kufungiwa kutofanya show Nigeria
Nyota wa Afrobeats Davido amedokeza kuwa onesho lake linalotarajiwa kufanyika mwezi Disemba nchini Nigeria linatishiwa kufutwa kufuatia na msanii huyo kutoa maneno yenye utata...
30
Kambole sababu ya Yanga kufungiwa kusajili
Shirikisho la la mpira wa miguu (FIFA) limeifungia ‘klabu’ #YangaSc kusajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake Lazarus Kambole baada ya mchezaji huyo kush...
19
Diamond: Manara hakupaswa kufungiwa hadi leo
Nyota wa muziki nchini Diamondplatnumz wakati akizungumza kwenye sherehe ya aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa , na kumvish...
05
Sababu akaunti nyingi za Whatsapp kufungiwa
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa watumiaji wengi wa WhatsApp yakihusisha akaunti zao za mtandao huo kufungiwa bila ya wao kujua chanzo. @mwananchiscoop tunakujuza sababu zita...
07
Pogba hatiani kufungiwa ‘soka’ miaka 4
Mwanasoka nguli kutoka nchini Ufaransa Paul Pogba yupo hatiani kufungiwa kucheza mpira miaka minne kwa kosa linaloelezwa kuwa ni utumiaji wa dawa zilizopigwa marufuku za kusis...
11
NEMC yazifungua baa 20 kati 89
Mkurugenzi mkuu wa baraza la Taifa la uhifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka ameeleza kuwa uamuzi wakufungua baadhi ya baa ambazo zilizo fungwa siku cha...
08
Bar zaidi ya 80 zafungwa, Tanzania
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia Bar za wazi zaidi ya 80 ikiwemo Elements, Wavuvi Camp, Boardroom, Kitambaa Cheupe, Liquid, Warehouse n...
21
Alichokisema Manara baada ya kufungiwa
Punde tu baada ya kamati ya Maadili ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kumfungia Msemaji Mkuu wa klabu ya Young Africans (YANGA), Haji Manara, mwenyewe amejitokeza na kuaand...
21
Alichokiandika Shafii Dauda baada ya Manara kufungiwa
Duuuuuuuh! Ikiwa ni taarifa za kuskitisha zinazoendelea kusambaa na kutrend katika mitandao ya kijamii kuhusu swala la msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara kupewa adhabu ya kif...
21
BREAKING NEWS: Manara OUT miaka miwili
Msemaji Mkuu wa klabu ya Young Africans (YANGA), Haji Manara amefungiwa kufanya shughuli za michezo nchini na nje ya nchi kwa miaka miwili, ikiambatana na faini ya shilingi mi...

Latest Post