Alooooooweeeh! Alooootenaah! Basi bwana kwa alichokifanya mzee wakutetema Fiston Kalala Mayele mchezaji wa yanga kuichapa Simba bao mbili katika siku ya ngao ya jamii, shabiki...
Wananchiiiiii! Aloooooh! Kama nawaona vile watoto wa jangwani yule kijana wa kutetema bado yupo sana, basi bwana akafunguka kuhusiana na uvumi way eye kuondoka Yanga ali...