Mayele Kuondoka Yanga bado sana

Mayele Kuondoka Yanga bado sana

 Wananchiiiiii! Aloooooh! Kama nawaona vile watoto wa jangwani yule kijana wa kutetema bado yupo sana, basi bwana akafunguka kuhusiana na uvumi way eye kuondoka Yanga alifunguka kupitia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari na kueleza kuwa


"Ni kweli nilitafutwa na Kaizer Chiefs, Al Hilal na Raja Casablanca, Timu zilikuwa nyingi na Timu ambayo ilikuwa Karibu kunichukua ni Kaizer Chiefs,” amesema Fiston Mayele

Aidha aliendelea kufunguka kuhusiana na mkataba wake kuwa wa mkopo na kueleza kuwa"Mimi bado ni mchezaji wa Yanga, nilisaini mkataba wa miaka miwili nimemaliza wa kwanza nimebaki na mwaka mmoja, sipo kwa mkopo Yanga nina mkataba,” amesema Fiston Mayele.

 

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags