Kama utani vile, imetimia miaka 10 tangu aliyekuwa mwanamuziki wa dansi, Ramadhan Masanja ‘Jenerali Banza Stone’ kufariki dunia.Leo Julai 17, 2025 ni siku ya ...
Ikiwa ni miaka mitano tangu ametoka rasmi kimuziki, Zuchu amefanikiwa kuwa chapa kubwa yenye ushawishi katika Bongofleva na kimataifa ambapo ameshirikiana na wasanii wakubwa n...
Kama ulikuwa hujui basi leo nakujuza zaidi, kuna nchi ndogo zaidi duniani iitwayo Molossia, ambayo imekuwa ikiwavutia wengi kufuatia na utawala pamoja na maisha ya wananchi wa...
Staa wa muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila amewahi kuachia wimbo 'Furahi' kwa ajili ya aliyekuwa mke wake, Zaiylissa. Katika wimbo huo ulioshika namba moja chat...
Mahakama ya jijini Manhattan imeendelea na kesi ya Sean “Diddy” Combs ambapo kwa sasa inaelezwa kesi hiyo ipo ukingoni huku hatma ya rapa huyo kujulikana hivi kari...
Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Zee Cute, Baraka Frank, amethibitisha msanii huyo kuanza matibabu maalum kutokana na changamoto ya Afya ya Akili iliyoanza kumsumbua mwezi Mei...
Moja ya kitu ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa hamu kwenye muziki wa Tanzania ni kumuona msanii mkongwe, anayependwa, na mwenye ushawishi mkubwa kwenye tasnia hiyo, Ali Salehe...
Filamu 68 zitachuana kuwania tuzo katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) linalotarajiwa kuanza kufanyika Juni 25 hadi 29, 2025.Filamu hizo zilizochaguliwa ni kati ...
Mwanamitandao na mwigizaji nchini Best King ambaye kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja wa kike anayeitwa Chloe, ameweka wazi matamanio yake kwa binti yake kuhusu kazi atakayoifany...
Jamie Foxx, mwigizaji na mchekeshaji kutoka Marekani amekanusha vikali uvumi na madai ya kuwa mwanamuziki Sean “Diddy” Combs alijaribu kumuua mwaka 2023.Jamie amek...
Mwigizaji Wema Sepetu amesema kuitwa kwake na Bodi ya Filamu Tanzania kumemfanya atambue thamani yake.Wema amesema hayo leo Mei 22,2025 baada ya kumaliza mazungumzo katika ofi...
Bodi ya Filamu Tanzania imemuita msanii wa maigizo Wema Sepetu kwa ajili ya mahojiano kuhusu picha jongefu zilizorushwa kwenye mtandao wa kijamii zikionyesha ...
Waandaji wa tuzo za BET wametoa orodha ya wasanii wanaowania tuzo hizo huku Tanzania ikiwakilishwa na msanii pekee wa Bongo Fleva, Abigail Chams.Abigail Chams amechaguliwa kuw...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi leo Mei 7,2025 akiwa bungeni jijini Dodoma amesema kwa mwaka 2024/25 migogoro ya wasanii imepungua.Waziri Kab...