Mwanamuziki wa Bongo Fleva Marioo amefunguka ishu ya kufunga ndoa na mzazi mwenzie Paula Kajala, kwa kuweka wazi kuwafanya hivyo hivi karibuni kwani Paula amekubali kubadili d...
Waigizaji wa filamu Tanzania ambao wapo kwenye ziara nchini Korea kwa ajili ya kujifunza masuala ya filamu mapema siku ya leo walikutana na staa wa filamu Korea, Son Ye-jin na...
Serikali ya Congo imeishutumu Kampuni ya Apple kwa kutumia Madini yaliyochimbwa kinyume na sheria Mashariki mwa nchi hiyo kutengeneza bidhaa zake.
Kupitia mawakili wa nchi hiy...
Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #Harmonize na mpenzi wake #PoshyQueeen leo wameelekea Kanisani kwa ajili ya ibada ya Jumapili licha ya kuwa msanii huyo ni muumini wa dini ya...
Ni matumaini yangu wazima wa afya kabisa, nafikiri katika pita pita zako umewahi kukutana na neno hili ‘Wito’ huku wengine wakitoa mfano kuwa uwalimu ni wito japo ...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Ice Spice amepewa kitabu cha dini ya Kikristo (bible) baada ya kumaliza show.
Ice ali-share ‘picha’ ya kitabu hicho kupit...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Omah Lay ameweka wazi kuwa amewahi kufikiria kubadilisha dini kutoka katika Ukristo na kuwa Muislam.Msanii huyo ameeleza hayo kufuatia mahoji...
Akiwa katika interview na moja ya chombo cha habari kwenye usiku wa birthday party mpenzi wake, @fahyvanny amesema kwa msisitizo hawezi kuacha simu ya baba mtoto wake @rayvann...
Mahakama kutoka nchini Iran ilitangaza hukumu ya kunyongwa dhidi ya wanaume wawili siku ya Jumatatu ambao walihukumiwa kifo kwa kuukashifu uislamu, watuhumiwa hao walita...
Ooooooooh! Waislamu wenyewe wanasema kuwa dini yao haimkatai mtu niwewe tuu kuichangua basi bwana Staa wa muziki whozu ameweka wazi swala la yeye kubadili dini na kuwa mu...
Duh! Ama kweli mambo ni mengi muda mchache, ukiambiwa kuwa uyaone si maghorofa, basi bwana leo katika segment yetu ya unique story tumekusogezea mwanamama ambaye ameamua kujib...
Taasisi ya Dini ya Kiislam ya Al- Hikma Foundation kutoka Jijini Dar es salaam, imetanganza kuwaozesha vijana 50 kwa kuwalipia mahari ambao bado hawajaoa kutokana na changamot...
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonya vikali vyombo vya utangazaji nchini humo zikiwemo Radio na Televisheni kuacha kurusha maudhui ya kufikirika hasa yanayogusa iman...
Hifadhi kubwa zaidi barani Ulaya ya madini adimu ambayo hutumiwa kutengenezea simu janja na makombora imepatikana nchini Sweden.
Hakuna madini adimu yanayochimbwa Ulaya kwa sa...