19
Ben Paul afunguka kuhusu ukimya wake kwenye muziki
Nyota wa muziki wa RnB nchini, Ben Pol amesema bado yupo sana katika fani hiyo licha ya ukimya wa muda mrefu uliotokana na kuamua kujipa likizo ya kutoachia kazi mpya yoyote.M...
07
Hakuna Ushahidi Wa Kumkamata Nicki Minaj
Ombi lililowasilishwa la kumkamata rapa Nick Minaj kufuatiwa na kesi ya kumpiga aliyekuwa meneja wake wa zamani, limekataliwa kutokana na kutokuwa na ushahidi wa kutosha Msema...
04
Nicki Minaj Na Tuhuma Za Kumpiga Meneja Wake
Mwanamuziki kutoka Marekani, Nicki Minaj ameripotiwa kukabiliwa na kesi iliyofunguliwa na meneja wake wa zamani aitwaye Brandon Garrett ambaye amedai kuwa Minaj alimpiga wakat...
09
Ustaa bongo ni mzigo wa maumivu
Kama kuna kitu kigumu kwenye huu ulimwengu, basi ni kuishi katika dunia ya umaarufu, hasa unaokulazimu kuficha maumivu na uonyeshe nyakati za furaha pekee. Huu ndiyo uhalisia ...
03
Ukweli kuhusu msemo wanaogombea Shafii Brand, Steve Mweusi
Kufuatia mvutano wa kugombania msemo unaofanania na "Kuchekacheka tu kuoga aaah" kati ya wachekeshaji Shafii Brand na Steve Moses 'Stive Mweusi', Ofisa Usajili kutoka Wakala w...
30
Kanye West aomba msaada kwa Kim Kardashian
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest ameomba msaada kwa aliyekuwa mke wake #KimKardashian baada ya kutokuwa na maelewana na kampuni ya Adidas. Imeripotiwa kuwa msani...
17
Hizi hapa brand zinazomiliki na Kardashian family
Familia maarufu kutoka nchini Marekani ‘Kardashian Family’ licha ya kupata umaarufu katika ‘Reality show’ yao lakini pia imepata mafanikio makubwa kati...

Latest Post