22
Lundenga azikwa makaburi ya familia Kidatu Morogoro
Mwili wa aliyekuwa mratibu wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, umezikwa leo Aprili 22,2025 katika makaburi ya familia, Kidatu, mkoani Morogoro. Mazishi ya Lu...
22
Je Tanzania itatikisa zaidi ya Nigeria
Baada ya mwanamuziki Juma Jux kuitikisa Nigeria kwa sherehe ya harusi na mkewe Priscilla. Sasa sherehe nyingine inatarajiwa kufanyika Mei 28,2025 hapa nchini.Harusi hiyo inayo...
22
Muziki Wa Wizkid Unatembea Bila Promo, Kiki
Mwanamuziki kutoka Nigeria, Wizkid ameripotiwa kuwa mmoja wa wasanii ambao muziki wao unajiuza wenyewe bila kiki wala matangazo yoyote.Katika moja ya mahojiano aliyowahi kuyaf...
22
Simba Aitwa Tajiri Baada Ya Kumwaga Maokoto Jp2025
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Diamond amepokea maua yake huku akitajwa kuwa msanii tajiri Afrika na kuwazidi mastaa wakubwa na wenye majina kutoka Nigeria.Kwa mujibu wa m...
22
Basilla Asimulia Alivyokabidhiwa Kijiti Cha Miss Tanzania Na Lundenga
Mkurugenzi wa Kampuni ya Look inayoendesha mashindano ya kumsaka Miss Tanzania, Basilla Mwanukuzi ameelezea namna marehemu Hashimu...
19
Suma Mnazaleti: Nilivyopoteza umaarufu wanawake wakanikimbia
Msanii wa Bongo Fleva Suma Mnazaleti amesema kinachopelekea baadhi ya wasanii kupotea kwenye gemu ni ukimya na kuchukua mapumziko kwenye muziki. Wakati akizungumzia hilo msani...
19
Mratibu Wa Zamani Miss Tanzania Lundenga Afariki Dunia
Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga amefariki dunia leo Apili 19,2025 katika Hospitali ya Itengule iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam.Taarifa ya kifo chake im...
19
Hakuna Kipengele Kwenye Kesi Ya Diddy
Imeripotiwa kuwa Jaji wa shirikisho Arun Subramanian ameeleza kuwa kesi ya rapa Sean “Diddy” Combs bado itaendelea kama ilivyopangwa kuanza kusikilizwa mwezi Mei, ...
19
Mambo Si Shwari Kwa Justin Bieber
Ndivyo tunavyoweza kusema kufuatia mwanamuziki wa Canada, Justin Bieber (31) anayefanya shughuli zake nchini Marekani kuendelea kuandamwa na mambo ambayo yanatishia hatima ya ...
18
Mwili wa aliyekuwa mwigizaji Carina wapokelewa jijini Dar es Salaam
Mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa filamu nchini, Hawa Hussein 'Carina' tayari umewasili Uwanja Wa Ndege wa Julius Nyerere ...
18
Jux Na Priscilla Walikutana Rwanda
Priscilla Ojo mfanyabiashara na mwigizaji ambaye ni mke halali wa mwanamuziki Juma Jux amefunguka sehemu ambayo amekutana na mume wake huyo akieleza kuwa walikutana Rwanda.&ld...
18
Drake Aendelea Kuikomalia UMG
Mwanamuziki Drake bado anaikomalia kampuni ya Universal Music Group (UMG) ambapo ametoa malalamiko mapya akidai kuwa kampuni hiyo ilitumia onesho la Super Bowl lililofanywa na...
17
Basata Yaingilia Kati Ishu Ya Tracy Miss Tanzania 2023
Baraza la Sanaa Taifa (Basata) chini ya Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dk Kedmond Mapana, leo Aprili 17, 2025 limefanya kikao na Miss Tanzania 2023, Tracy Nabukeera pamoja na...
17
Akon Alikuwa Akimtumia Mdogo Wake Kufanya Show
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka Senegal ambaye anaishi Marekani, Akon Thiam amethibitisha kuwa mdogo wake aitwaye Abou "Bu" Thiam alikuwa akimuwakilisha kwenye baadhi ya matam...

Latest Post