Kuna watu wetu wamegoma kuzeeka. Kama siyo kiakili basi kimwili. Wapo wanaotaka miili ya 2000 iwe vilevile hadi leo. Na mawazo yao ya 2000 pia yaendelee kuwa vilevile hadi leo...
Mmiliki wa ukumbi wa Sphere uliopo Las Vegas amemtumia Beyoncé barua ya kuzuia na kusitisha (cease and desist) kipande cha video kilichorekodiwa na mashabiki katika tam...
Mwigizaji maarufu kutoka Marekani Robert Downey Jr anatajwa kuwa mwigizaji aliyevuna mkwanja mrefu katika kampuni ya Marvel (Marvel Cinematic Universe MCU) kufuatia na uhusiak...
Mwanamitindo maarufu nchini, Calisah amesema kwa sasa hataki tena mambo ya kidunia aliyokuwa akiyafanya mwanzo badala yake amemrudia Mungu.Akizungumza na Mwananchi Scoop Calis...
Malkia wa Hip Hop Soul na RnB Marekani, Mary J. Blige (54) ameshtakiwa na aliyekuwa mwanamitindo wake, Misa Hylton kwa madai ya kumkosesha mamilioni ya fedha kufuatia kuingili...
Mwanamuziki Marioo ambaye anatamba na wimbo wa ‘Tete’ na mpenzi wake Paula Kajala wameonesha sura ya mtoto wao Amarah kwa mara ya kwanza.Ikiwa leo ni siku ya kuzal...
Mmoja wa matajiri zaidi duniani na mfanyabiashara Bill Gates ameeleza kuwa miaka 10 ijayo binadamu watafanya kazi siku mbili kwa wiki huku majukumu yao yakifanywa na Akili Ban...
Wakati watu wakitulia kusherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani, upande wa burudani umezua gumzo zito baada ya mwanamuziki Diamond Platnumz kushiriki picha akiwa na mpenzi wake...
Sean "Diddy" Combs, ambaye anakabiliwa na mashtaka mazito ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya ngono na uhalifu mwingine, amepata ruhusa ya kuvaa mavazi ya kiraia wakati w...
Divine Ikubor, maarufu kama Rema, ni miongoni mwa wasanii wachache wa kizazi kipya waliothibitisha kuwa umri si kikwazo cha mafanikio. Licha ya kuwa bado kijana, Rema ameendel...
Mbali na kujulikana kwa mafanikio yake makubwa katika muziki wa Bongo Fleva na kupenya hadi kwenye midundo ya Amapiano, Diamond Platnumz ameendelea kuonyesha kuwa yeye ni msan...
Imetimia miaka 17 tangu Jay Z, 55, na Beyonce Knowles, 43, kufunga ndoa Aprili 4, 2008, hadi sasa harusi yao ni moja ya mambo yanayojadiliwa sana kutoka katika familia hiyo ya...
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka Senegal ambaye anaishi Marekani, Akon amefunguka kuhusu mchango wake katika kukuza muziki wa Afrobeat na namna ambavyo amepambana na changamoto...
Msanii wa hiphop nchini, Chemical ambaye alikuwa masomoni Uingereza amefaulu mtihani wa mahojiano wa PhD (Viva Voce) wa shahada ya Uzamivu (PhD) katika chuo cha St. Andrews nc...