Katika mazingira ya kazi, kuna vitu vingi vinavyoweza kujadiliwa kwa uwazi kati ya wafanyakazi, lakini pia kuna mambo ambayo ni bora kubaki siri. Kuweka mipaka katika masuala ...
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha mchezaji wa klabu ya Modern Future ya Misri, Ahmed Refaat.
Kupi...
Na Glorian Sulle
Moja ya kinywaji ambacho hupendelewa haswa na wafanyakazi wengi katika maofisi mbalimbali ‘kahawa’ ndio namba moja, hii ni kutokana na madai kuwa ...
Mume wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Simi, #AdekunleGold amefunguka kuwa na ugonjwa wa Sickle Cell ambapo ameweka wazi kuwa umekuwa ukimsumbua kwa muda mrefu.
Tovuti ya ...
Baada ya kutangaza kupata changamoto ya kiafya kwenye ndege, bondia wa uzani wa juu Mike Tyson, amewaondoa hofu mashabiki wake kwa kueleza kuwa kwa sasa yupo sawa asilimia 100...
KwDk Lewis Elliott a mujibu wa utafiti uliyofanywa na Dk Lewis Elliott kutoka Chuo Kikuu cha Exeter nchini Uingereza umebaini kuwa watu wanaoishi karibu na mazingira ya ufukwe...
Inadaiwa kuwa tabia ya kuoga kila siku haina faida yoyote kwa afya ya binadamu, bali watu hufanya hivyo, wakihofia kutengwa na jamii, kwa sababu ya kunuka.
Kwa mujibu wa tafit...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanya na Chuo Kikuu cha Brigham Young ambao uliandikwa katika Jarida la Saikolojia ya Familia lilieleza kuwa, kuwa na Dada kunaweza kukufanya uwe na...
Baada ya kuripotiwa kuwa katika hali mbaya kutokana na kunusurika kwenye ajali ya moto, familia ya bingwa wa zamani wa UFC Mark Coleman, imeripoti kuwa mkali huyo kwa sasa ana...
'Klabu’ ya #Yanga imetoa taarifa kuwa Afisa Habari wa ‘timu’ hiyo #AliKamwe anaendelea vizuri kwa sasa, baada ya kupata matatizo ya kiafya dakika chache kabl...
Utafiti uliofanywa na Chuo cha Cambridge umeeleza kuwa kufunga mara kwa mara kunawaongezea binadamu uzalishaji wa mafuta muhimu na kusababisha kuwa na afya njema na kupunguza ...
Mtangazaji wa CNN aitwaye #SaraSidner ameweka wazi kuwa anasumbuliwa na saratani ya matiti wakati akiwa live kwenye kipindi cha asubuhi.
#Sara amefichua ugonjwa huo kwa lengo ...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Brazil mwenye umri wa miaka 34 ambaye hajafahamika jina amejisalimisha kwa polisi Disemba 22 na kukiri kukata sehemu za siri za mumewe na kuzitupa...