Msanii wa filamu na mfanyabiashara Tausi Mdegela anasema kutokana na kimo chake kifupi, kuna baadhi ya watu katika jamii na mitandao wanaona hastahili kufanya baadhi ya vitu.H...
Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi kuhusu kuwekeza nguvu kwenye muziki wa singeli imewakosha wasanii wa muziki huo huku wakimuomba ...
Joseph Silumbe ambaye ni mtoto wa marehemu msanii mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu 'King Kikii' amesema baba yake amefariki kwa maradhi ya sarat...
Asma HamisMwanaume mmoja kutoka nchini Saudia aliyefahamika kwa jina la Abu Abdullah (63) amedaiwa kuoa mara 53 kwa kipindi cha miaka 43 kumtafuta mwanamke atakaeweza kumpa ut...
Masoud Kofii Mchekeshaji maarufu nchini Masatu Ndaro 'Mjeshi Kikofia' ametangaza kuja na wimbo wake mpya utakao fahamika kama "Nimpe nini" aliowashirikisha G boy na Kontawa. N...
Kila kitu kimebadilika. Hata Hayati Magufuli naye akiibuka hii leo atastaajabu vitu vingi. Ulitegemea Bunge hili kuwa nje ya mikono ya Job Ndugai? Ulitegemea Alikiba kuhamia S...
MWANAHAWA ALLY ASTAAFU KUIMBA TAARABU RASMIMkongwe wa muziki wa Taarabu Mwanahawa Ally amestaafu kuimba muziki huo baada ya kuimba kwa zaidi ya miaka 58.Sherehe hiyo ya kumuag...
Kufuatia tuhuma zinazomkabili mkali wa Hip hop kutoka Marekani Diddy, Sean ‘Diddy’ Comb huku baadhi ya mastaa mbalimbali kuhusishwa kwenye kesi zake, meneja wa msa...
Kutokana na tabia ya baadhi ya wasanii kudanganya umri na kutaja mdogo zaidi uoga wa uzee na ubaguzi unataja kuwa chanzo cha kufanya hivyo. Akizungumza na Mwananchi Scoop mwan...
Mwigizaji mkongwe kutoka Marekani Sylvester Stallone maarufu Rambo amefunguka kuja na kitabu chake kitachoelezea kuhusu safari yake hadi kuwa nyota mkubwa.Kwa mujibu wa Tmz ny...
Sio ajabu kuona Ma-DJ nchini nao wanakuwa maarufu kama ilivyo kwa wasanii wa Bongofleva.Wamekuwa wakiandaa shoo zao wenyewe, kushinda tuzo za kimataifa, kuwa na idadi kubwa wa...
Rapa wa Marekani Megan Thee Stallion amefunguka kuwa hayupo tayari kupatanishwa na msanii mwenzake Nicki Minaj, kwani hajui chanzo cha ugomvi wao.“Mpaka leo sijui tatizo...