Wauguzi nchini Uingereza kuandamana kwa mara ya pili kudai malipo zaidi

Wauguzi nchini Uingereza kuandamana kwa mara ya pili kudai malipo zaidi

Zaidi ya wauguzi 10,000 wanaosimamiwa na huduma ya  afya ya Taifa (NHS) nchini EnglandWales na Ireland Kaskazini wanatarajia kushiriki katika maandamano ya pili kudai malipo zaidi.

Maandamano hayo pia yatafanywa na wahudumu wa magari ya huduma ya kwanza nao watashiriki Desemba 21, 2022 isipokuwa tu kama muafaka utafikiwa kabla ya muda huo

Aidha ikiwa yatafanyika itakuwa ndani ya wiki moja, maandamano yanatokea mara mbili, awali waliongezewa malipo lakini wanadai kiwango kilichoongezwa hakikidhi mahitaji yao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags