Dulla Makabila na video ya "pita huku"

Dulla Makabila na video ya "pita huku"

Ooooooh! Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, bwana ukiachana na balaa hilo la Gigy mipesa kuna la huyu mwamba wa singeli Dulla Makabila ameachia video ya singeli ya kufungia mwaka ambayo ameipa jina la ‘PITA HUKU.’

Humo ndani bwana asikwambie mtu amefanya maajabu sana ambapo singeli hiyo mpaka sasa unavyosoma inafanya vizuri sana kupitia mitandao ya kijamii.

Haya haya wanangu sana msiache kufuatilia magazine yetu inayotoka kila Ijumaa vile vile bila ya kusahau kupitia mitandao yetu ya kijamii @Mwananchiscoop kwa mastori mengi ya kuelimisha, kufurahisha na kuburudisha.

 

Ohoooo mambo ni moto mambo ni fireee wiki hii kwenye anga za burudani ebwana eeh, enjoy your weekend.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags