03
Iphone zitakuwa na uwezo kwa kurekodi mazungumzo
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kampuni ya simu za Iphone imeweka wazi kuwa katika mfumo wao wa ‘iOS 18.1’ wanatarajia kufanya maboresho katika upande wa kupi...
13
Maokoto yanavyowafanya wasanii wa vichekesho kukimbilia YouTube
Siku za hivi karibuni huwenda mambo ni rahisi kwa wasanii wa vichekesho baada kuyakimbiza maudhui yako katika mitandao ya kijamii kama YouTube tofauti na ilivyokuwa zamani. Ak...
13
Arsenal, Calafiori ni suala la muda tu
Imeripotiwa kuwa, Arsenal inakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua beki wa Italia na Klabu ya Bologna, Riccardo Calafiori. Aidha inaelezwa kuwa, Bologna imeweka dau la pauni...
02
Kocha wa Mamelodi achukia kuingiliwa majukumu yake
Kocha wa Mamelodi Sundowns F.C., Rulani Mokwena achukizwa kuingiliwa kwenye majukumu yake baada ya mkurugenzi wa klabu hiyo #FlemmingBerg kuwaondoa wachezaji wanne ambao bado ...
01
Shilole: Ninafanya makusudi kuongea kingereza
Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya, Shilole amesema kukosea kwake kuzungumza Kiingereza huwa anafanya makusudi ili watu wacheke. Shilole anayejishughulisha pia na bias...
26
Ngoma ya ‘Not like Us’ ya Lamar inastahili kuwania Grammy
Mkurugenzi Mtendaji wa tuzo maarufu Marekani za Grammy,  Harvey Mason Jr ameweka wazi kuwa wimbo wa ‘Rapa’ Kendri...
17
Ali Kamwe: Ukitembea mikoani hauna makombe wewe ni ‘Panya Road’
Ofisa Habari wa klabu ya Yanga, AliKamwe amesema ameshangazwa na baadhi ya wasemaji wa klabu ambao wamekuwa wakitembea mikoani bil...
16
Sababu ya kifo cha Mohbad bado ni kizungumkuti
Baada ya kusubiri majibu ya vipimo ya mwili wa mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad kwa miezi nane sasa, Daktari Bingwa wa Uchunguzi wa Kisayansi na Patholojia kutoka Hospitali y...
15
Chino: nimejipata naweza kufanya chochote kwa pesa zangu
Mkali wa muziki wa amapiano, Issaya Mtambo 'Chino Kidd' ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wa Binadamu amesema licha ya changamoto ya ushindani kwenye sanaa amejipata anawez...
07
Tyla ndani ya Met Gala kwa mara ya kwanza
Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini Tyla naye amekuwa ni miongoni wa mastaa waliyohudhuria katika usiku wa tamasha la mitindo nchini Marekani liitwalo ‘Met Gala&rsqu...
18
Ayra uso kwa uso na Rihanna
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria Ayra Starr amekutana na msanii mwenzake Rihanna, usiku wa kuamkia leo katika onyesho la Fenty X Puma lililofanyika jijini #London. Wawili ha...
17
Mapenzi chanzo Tiwa kuingia kwenye muziki
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #TiwaSavage ameweka wazi kuwa aliingia kwenye muziki kwa sababu ya mwanaume, lakini ndoto yake ilikuwani uigizaji. Tiwa ameyasema hayo wakati...
17
Mwili wa O.J. Simpson kuchomwa moto
Mwili wa aliyekuwa mwanamichezo wa zamani ambaye pia alikuwa mwigizaji kutoka nchini #Marekani O. J. Simpson utachomwa moto baada ya kukamilisha taratibu za shughuli za mazish...
01
Messi azungumzia kustaafu kwake
Licha ya kuwa mchezaji wa Inter Miami Lionel Messi, atafikisha miaka 37 mwezi Juni, amefunguka kuwa atastaafu soka, muda ambao atahisi hawezi tena kufanya vizuri zaidi kwenye ...

Latest Post