Mwigizaji wa Marekani Auli’i Cravalho, ambaye amejizolea umaarufu kupitia filamu ya ‘Moana 1 & 2’ amefunguka kuwa filamu hiyo imemfungulia maisha kwani i...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' amewekawazi kuwa ndoto yake kubwa kwa sasa ni kuwa tajiri namba moja duniani huku akiweka ahadi ya kuwa mtan...
Mwigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 22, jijini Dar es Salaam amesema kuwa uhusika anaocheza kwen...
Mwanamuziki wa Nigeria, #BurnaBoy amedai kuwa hakuna mwandishi wa nyimbo anayeweza kuandika wimbo wa hadhi yake. Burna Boy ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa X (Zaman...
Na Aisha Charles
Katika kutafuta njia ya kupambania ndoto zako ukiwa chini ya uangalizi wa wazazi hasa ukiwa unawategemea kwa kila kitu lazima kutakuwa na mashaka, mzazi au ml...
Mwigizaji wa Bongo movie #KajalaMasanja amewatolea povu watu wanaofuatilia na kutaka kumuharibia jina lake amedai kuwa maisha ni yake ila mazishi ni yao.
Kajala ameyasema hayo...
Ikiwa ni mwendelezo wa historia ya mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Rehema Chalamila maarufu Ray C kueleza sababu ya kuondoka Tanzania na kuhamia Paris, Ufaransa, sa...
Aisha Charles
Isikiwapo ngoma iitwayo Mama Neema au Money Money, wengi inawakumbusha miaka 13 iliyopita, kwa sababu ndiyo nyimbo zilizokuwa zikifanya poa kutoka kwa mwanamuzik...
Mwanamziki Rehema Chalamila, maarufu kama Ray C ametoa fuzo kwa wasanii nchini Tanzania, kudumisha upendo ili kazi zao ziweze kufanya vizuri zaidi.
Kupitia ukurasa wake wa mta...
Baada ya kufunga ndoa usiku wa kuamkia leo na mpenzi wake Jembe One, mfanyabiashara na dada wa mwanamuziki Diamond, Esma Platnumz ameeleza kuwa ndoa hiyo ndio itakuwa ndoa yak...
Mwigizaji maarufu kutoka nchini #Nigeria, #ReginaDaniels amezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa yuko tayari kumtolea figo mumewe Mh.NedNwoko ili apone na aendelee kuishi ...
Msanii kutoka nchini Young Killer amewashangaza mashabiki wengi baada ya kuweka wazi kuwa mama yake mzazi ndiyo mtayarishaji wa nyimbo zake.Young Killer kupitia ukurasa wake w...